Ila Waswahili wana mambo ya ajabu. Yani mwanaume anafanya kazi kutafuta hela kulea watoto ambao sio wake, anakuja kugundua unamwambia Kitanda hakizai haramuNi msemo ambao uliyungwa na waswahili kuficha hiyo haibu but hauna impact kwneye ndoa
Huwez mzuia mtu kubeba mimba ya nje but unaweza kuzuia kuishi na huyo mtu
Umewahi kuwa mwanamke?Unadhani kuepuka rahisi basi, hawa viumne wasipokupenda hazai na wewe ng'oo. Anaweza kufanya kila hila asibebe mimba, akaja kubeba ya mwingine anayempenda.
Ukiona hadi kabeba mimba jua kaitaka na wala si bahati mbaya. Mpaka aje kukubambikia watoto si wako kama upo sawa kiafya elewa hataki kuzaa nawe.
Kuepuka hayo mambo ni wewe kuangalia na mwanamke wa kuanzisha mahusiano naye. Usipemde kutumja nguvu au hila kulmpata mwanamke na hana hisia nawe
Kweli mkuu, kumfwatilia demu muda mrefu sana pamoja nakutumia ushawishi/kuhonga sana,hapo unajisukia bomu mbeleniUnadhani kuepuka rahisi basi, hawa viumne wasipokupenda hazai na wewe ng'oo. Anaweza kufanya kila hila asibebe mimba, akaja kubeba ya mwingine anayempenda.
Ukiona hadi kabeba mimba jua kaitaka na wala si bahati mbaya. Mpaka aje kukubambikia watoto si wako kama upo sawa kiafya elewa hataki kuzaa nawe.
Kuepuka hayo mambo ni wewe kuangalia na mwanamke wa kuanzisha mahusiano naye. Usipemde kutumja nguvu au hila kulmpata mwanamke na hana hisia nawe
Mkuu hii ni irrelevantwenzenu wanahangaika kwenda mwezini, Mars, kutengeneza AI na Robotics
Hayo mambo hayana tija na ni faux outrage tu, Nina uhakika kati ya mamia ya watu wote wenye watoto unaowajua hakuna hata wanaume wawili unaowafahamu waliobambikiziwa watoto na wanawake. Zaidi sana labda ni story tu huwa unasikia mtandaoni mara moja katika miaka mitatu.Mambo yasiyo na tija kwa nani?
Na nini kinakufanya uamini nchi za nje hawakumbani na matatizo haya?
Mkuu, hamna kitu, Tafsiri ya "kumtomba vizuri" ni ipi?Kumtomba vizuri mkeo
Ndo maana wanachomwa visu na kubanikwa kwenye makaa.Unadhani kuepuka rahisi basi, hawa viumne wasipokupenda hazai na wewe ng'oo. Anaweza kufanya kila hila asibebe mimba, akaja kubeba ya mwingine anayempenda.
Ukiona hadi kabeba mimba jua kaitaka na wala si bahati mbaya. Mpaka aje kukubambikia watoto si wako kama upo sawa kiafya elewa hataki kuzaa nawe.
Kuepuka hayo mambo ni wewe kuangalia na mwanamke wa kuanzisha mahusiano naye. Usipemde kutumja nguvu au hila kulmpata mwanamke na hana hisia nawe
Hakuna wanaume wa kubambikizwa watoto kwa makusudi kisiri hapa JFMkuu hii ni irrelevant
Watu kwenda mwezini na kuunda robots still hakuondoi changamoto za ndoa
Hivi kwa akili yako unadhani kila mzungu anatengeneza robot na kwenda mwezini? Unafuatiliaga page za Family Courts za Marekani ukaona jinsi matatizo ya ndoa kama haya yanavyosumbua watu Marekani?
Yani vitu vinavyohusisha gharama, jasho lako, furaha yako, mipango yako, mental health na maisha yako unavyotaka yawe unasema sio kitu cha maana?
Hahaha. Watu wapo na Ai sisi huku tunaibiana nyeti.Waafrika acheni kuhangaika na mambo yasio na tija Karne hii ambapo wenzenu wanahangaika kwenda mwezini, Mars, kutengeneza AI na Robotics
Sasa huoni hata wewe huwajui watu wengi walioenda mwezini? Kwani wangapi unawajua wanaenda mwezini au nini kinakufanya uamini kuwa kwenda mwezini ni kitu cha maana kujadili kwa Mtanzania kuliko maisha yake halisi?Hayo mambo hayana tija na ni faux outrage tu, Nina uhakika kati ya mamia ya watu wote wenye watoto unaowajua hakuna hata wanaume wawili unaowafahamu waliobambikiziwa watoto na wanawake. Zaidi sana labda ni story tu huwa unasikia mtandaoni mara moja katika miaka mitatu.
Yap kutafuta njia ya ku justify upuuzi, ndio imefanya jamii imefika hapaIla Waswahili wana mambo ya ajabu. Yani mwanaume anafanya kazi kutafuta hela kulea watoto ambao sio wake, anakuja kugundua unamwambia Kitanda hakizai haramu
Watu always wanatafuta njia ya ku justify upuuzi
Hii Africa tuna safari ndefu sana ya kuingia katika civilization ya sayansi na teknolojia ya karne ya 21, ni kama vile bado tumeganda Karne ya 17.Hahaha. Watu wapo na Ai sisi huku tunaibiana nyeti.
Basi hata kama kwenda mwezini sio kitu cha maana tujikite kufufua viwanda vya nguo tuache kuvaa mitumba ya Wazungu na nguo za mchina, pamba iko ya kutosha.Sasa huoni hata wewe huwajui watu wengi walioenda mwezini? Kwani wangapi unawajua wanaenda mwezini au nini kinakufanya uamini kuwa kwenda mwezini ni kitu cha maana kujadili kwa Mtanzania kuliko maisha yake halisi?
Ila huwa mnakosea sanaHahaha. Watu wapo na Ai sisi huku tunaibiana nyeti.
Kabisa mkuu, Labda nchi kama Morocco ndo iwakilishe bara, huku kwengine unakuta kuna maeneo hata elimu ya kutumia choo hawana achilia mbali kuwa na hicho choo.Hii Africa tuna safari ndefu sana ya kuingia katika civilization ya sayansi na teknolojia ya karne ya 21, ni kama vile bado tumeganda Karne ya 17.
Kitanda hakizai haramu mkuu🤣dhana ya kijinga hii na inachochea uzinzi