Nionyeshe Mradi Mmoja wa maana wa Samia nikuonyeshe Nane ya Magufuli ndani ya miaka minne ya utawala wao

Kafanya madogo sana ila matangazo yake sio mchezo. Ni sawa kwa wanawake wote, unamnunulia almost kila kitu kila siku ila siku yeye akikununulia mkanda valentine's day anataka uuvae kila siku na uchomekee mkanda uonekane😀
maxresdefault.png
 
Hivi mama angeamua

Mawazo ya namna hii ndio yamedidimiza nchi yetu. Hebu fikiria mama angeacha miradi ya Magufuli na kuazisha ya kwake kwa kutaka legacy mnayo izungumza hapa ingekuwaje?
Kwani mama ndiyo nani?
 
Miradi yetu yote ile, tokea mahali ilipoachwa, ilihitaji pesa kiasi gani ili ikamilike mkuu

Maana kama mikopo ya hiyi miradi imekuwa ni mikubwa mno zaidi ya 60t

Na pesa zinazotokana na kodi zetu ndani ya miaka minne, zenyewe zinaishia kulipa posho tu za watumishi?

Nauliza tu
Asa kwa nini mkaita awamu ya sita kama siyo uroho wa madaraka
 
Tukimsema vibaya mama wa kizimkazi mnatuona wabaya kafanya nini cha maana hii miaka 4 ya utawala wake

Magufuli

1 .GEP Ali centralised Malipo yote ya serikali na kuokoa upotevu.mkubwa wa pesa

2. Bwana la Nyerere. Limemaliza kabisa mgao wa umeme na kuchochea uchumi mara dufu.

3.Toto Afya kadi ilikuwa ni uamuzi mzuri na wa busara kuwahi kutokea nchini. Hii ilionyesha ni kwa kiasi gani aliwapenda watu wake.

4. SGR Mwamba alicheza kama Pele. Hapo namba 2 kaimarisha upatikanaji wa umeme ili sgr ije iteleze kama nyoko pangoni akili kubwa sana.hapa ilitumika sasa tunafurshia tu.

5. Barabara Kimara to kibaha ebana eee. Tuna enjoy sana mbezi tu kibaha dakika 10 tu. Kwa sasa kukaa kibaha unafanya kazi city center siyo shida tena alipanua mji kishujaa.

6. Kivuko cha Busisi. "Hiii bagosha".wasukuma.meno.yote nje huko wanapoliona hili daraja. Ni ujasiri wa ajabu kuwahi kufanywa na Raisi wa Nchi.

7. MV Victoria kivuko kipya ambacho kimeshakamilika. Samia.anasuasua utekelezaji.

8 Ubungo fly over haaaaa du another milestone hatari tupu ndani ya miaka 3 kitu hichooo huyu alikuwa mwamba.

RIP MWAMBA

Awamu ya Kikwete ilipoisha angeingia huyu Mama CCM ingekuwa tayari imekufa na kuzikwa. Magufuli ndio aliiongezea uhai kupitia CCM kupitia maono, nguvu, uthubutu na uwajibikaji wake ndio ulioifufua CCM kutoka katika wimbi la rushwa, upigaji na ufisadi.

Kutoka kwa Kikwete, akafuata Samia, nafikiri sasa hivi tungekuwa na serikali ya upinzani.
 
Tukimsema vibaya mama wa kizimkazi mnatuona wabaya kafanya nini cha maana hii miaka 4 ya utawala wake

Magufuli

1 .GEP Ali centralised Malipo yote ya serikali na kuokoa upotevu.mkubwa wa pesa

2. Bwana la Nyerere. Limemaliza kabisa mgao wa umeme na kuchochea uchumi mara dufu.

3.Toto Afya kadi ilikuwa ni uamuzi mzuri na wa busara kuwahi kutokea nchini. Hii ilionyesha ni kwa kiasi gani aliwapenda watu wake.

4. SGR Mwamba alicheza kama Pele. Hapo namba 2 kaimarisha upatikanaji wa umeme ili sgr ije iteleze kama nyoko pangoni akili kubwa sana.hapa ilitumika sasa tunafurshia tu.

5. Barabara Kimara to kibaha ebana eee. Tuna enjoy sana mbezi tu kibaha dakika 10 tu. Kwa sasa kukaa kibaha unafanya kazi city center siyo shida tena alipanua mji kishujaa.

6. Kivuko cha Busisi. "Hiii bagosha".wasukuma.meno.yote nje huko wanapoliona hili daraja. Ni ujasiri wa ajabu kuwahi kufanywa na Raisi wa Nchi.

7. MV Victoria kivuko kipya ambacho kimeshakamilika. Samia.anasuasua utekelezaji.

8 Ubungo fly over haaaaa du another milestone hatari tupu ndani ya miaka 3 kitu hichooo huyu alikuwa mwamba.

RIP MWAMBA
NAUNGA MKONO ASILIMIA MIA HOJA ZOTE HIZI
APUMZIKE KWA AMANI SHUJAA..!
 
Sizan km unaweza mtenganisha Raisi samia na maendeleo yaliyofanya na magufuri

Kwanza samia alikua ni mmoja wapo wa iyo mikakati na mipango sabu alikua makamu wa raisi,.

Pili Karibu 75% ya hiyo miradi yote uliyoitaja apo juu late magufuri hakuimalizia ni uongozi na utashi wa Mama samia kuimalizia,
Maana alikua na uwezo wa kuiacha ikafa km miradi mingne ila aliamua kuweka na kutafta pesa ili kumalizia iyo miradi.
 
Mradi mmoja wa aluoufanya na anaoendelea kuifanya ni kuteka watu fullstop.Ndiyo maana wakenya wamemwambia atulize............
 
Tozo z miamala ya simu

Kajaribu kuwatoa masai ngorongoro

Kuwapa waarabu wa dubeyi waendeshe bandari

Royo tua na kina piraa

Manunuzi ya kila goli la simba au yanga kimataifa

Yapo mengi mazuri tu ambayo yamepaisha nchi yetu kiuchumi na maisha ya kila mtanzania kupanda , mama mitano tena👊
 
Mikopo si ndio hio miradi ya juu inayosifiwa?

Sgr mpaka kuja kuisha Tegemea si Chini ya Trilioni 25, Bwawa la Nyerere Trilioni 9 kwenda 10, hizo Flyover na madaraja etc vyote ni mikopo japo tunadanganywa ni hela za Ndani, Hela tunayokusanya Ndani haitoshi hata kugharamia matumizi yote ya Serikali inabidi miradi wakakope.
Wafata mkumbo hao wajichosha hawata kuelewa
 
Hiyo miradi Magufuli aliiacha ikiwa hatua gani?

Samia kaipokea katika hatua gani na ameifikisha wapi?

Samia alikuwa nani katika Serikali ya Magufuli? Na unamtenganishaje na Mipango ya Magufuli?
 
Tukimsema vibaya mama wa kizimkazi mnatuona wabaya kafanya nini cha maana hii miaka 4 ya utawala wake

Magufuli

1 .GEP Ali centralised Malipo yote ya serikali na kuokoa upotevu.mkubwa wa pesa

2. Bwana la Nyerere. Limemaliza kabisa mgao wa umeme na kuchochea uchumi mara dufu.

3.Toto Afya kadi ilikuwa ni uamuzi mzuri na wa busara kuwahi kutokea nchini. Hii ilionyesha ni kwa kiasi gani aliwapenda watu wake.

4. SGR Mwamba alicheza kama Pele. Hapo namba 2 kaimarisha upatikanaji wa umeme ili sgr ije iteleze kama nyoko pangoni akili kubwa sana.hapa ilitumika sasa tunafurshia tu.

5. Barabara Kimara to kibaha ebana eee. Tuna enjoy sana mbezi tu kibaha dakika 10 tu. Kwa sasa kukaa kibaha unafanya kazi city center siyo shida tena alipanua mji kishujaa.

6. Kivuko cha Busisi. "Hiii bagosha".wasukuma.meno.yote nje huko wanapoliona hili daraja. Ni ujasiri wa ajabu kuwahi kufanywa na Raisi wa Nchi.

7. MV Victoria kivuko kipya ambacho kimeshakamilika. Samia.anasuasua utekelezaji.

8 Ubungo fly over haaaaa du another milestone hatari tupu ndani ya miaka 3 kitu hichooo huyu alikuwa mwamba.

RIP MWAMBA
Mzanzibar yeye kazi yake ilikuwa ni kuzindua miradi ya Hayati.
 
Yule mwamba angekuwa hai leo sijui Tanzania ingelinganishwa na nchi gani hapa afrika.
 
Jamn hebu acheni unafiki. Bwawa la Nyerere, SGR, daraja la Nyerere, ujenzi wa Dodo a na mengineyo kwani magufuli aliviacha vishakamilika? Mama kaendeleza pale alipoishia au mlitaka avitelekeze aanze vipya kujenga legacy nayeye?
 
Back
Top Bottom