Nipe sababu moja ya wewe kutokunywa/kutumia pombe

Mzeee sisi ukoo wetu majority wanakunywa Mimi nliliweka nadhiri Sito kunywa

So Mimi ni lika la kina Christian Ronaldo, Lionel Messi.. kama ningekua mtu wa kubadilika sawa ila naelewa na najielewa

Always pombe sio tatizo... Problem ni mtu mwenyewe.. am done
 
Weita kimbia niogezee nilowanishe magigo tunateseka sana kuvitafuta na tukifa tunaharibikia gawa na kule matunzo 02 atalipa
 
Kula chuma
 

Attachments

  • pombe_Ina_mathara_..by_rose_muhando(720p).mp4
    4.1 MB
Kwa ufupi,ninyi ambao hamjawahi kunywa au mliwahi na kuacha pombe,ni vema sana mkatuachia mambo yetu.Ninyi pigeni uji wa mapande,wa ulezi,chai kavu,kahawa na msisahau kashata na maandazi.Shukrani ziwakute hukohuko mlipo ila muache umbeya/usengenyaji.
 
Hakuna pepo.
ukilala umelala. Full stop.

Anyway mm ni Mkristo ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š
Haya mambo ya kulala mazima (kifo) ndo yananifanya nishindilie mibia na mavitimoto kama mwehu vile๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ...maana najua kikinuka ndo basi tena funza na mchwa halali yao!
 
Karibu sana ba mnyangโ€™ode
 

Attachments

  • 62694DA6-ADEE-40B0-9A66-42BCCFBE5BF1.jpeg
    232.8 KB · Views: 13
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ