Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,646
- 10,442
Hakuna pepo.maisha ya dunia yanatudanganya ila ni mafupi mno..hizi tunazoziona ni starehe ni fupi mno...Wengi wetu hapa tumeshakula zaidi ya nusu ya umri wetu wa kuishi hapa duniani.
1 Timotheo 5:23Emagine yesu alifikiriiii anawaza kinywaji kitakacho wakilisha damu ni iwe ni Tungi pombe mzeeeee
yeah hata Mtume Muhammad (pbuh) alisema kuwa "atakayekunywa pombe ktk maisha ya dunia basi atazuiliwa kuinywa katika maisha ya akhera (baada ya kufufuliwa)Ambao hatuna mpango wa kwenda Huko Mbinguni. Tunakula share yetu hapa hapa dunian πππ
Zilikuwa kali sana, zile kiroba original, tulikuwa tunaziita "jogoo" na ilikuwa na chapa ya jogoo, ndio brand ya K-vant.Nikiwa kidato cha pili nilikua natupia begani mkanda mzima wa kiroba og kama komando kipensi
Ukristo unasema kuwa pepo ipo, nakushangaa wewe unakana.Hakuna pepo.
ukilala umelala. Full stop.
Anyway mm ni Mkristo ππππ
Sema mimi nilivutiwa na ka harufu ka nanasi ,hivyo nilikua nalamba sana zedZilikuwa kali sana, zile kiroba original, tulikuwa tunaziita "jogoo" na ilikuwa na chapa ya jogoo, ndio brand ya K-vant.
Kulikuwa na jogoo ndogo na kubwa aloooh!!
Ukinywa kooni unahisi kama miali ya moto inapita.
Ndogo ilikuwa ni 300, kubwa 700.
Walikuwa wakichuana na baba Lao Konyagi.
Mpaka wakafika bei elekezi "1200" kwa kubwa na ndogo 500 . Ndo ukawa mwisho wa mchuano.
1 Timotheo 5:23Ukristo unasema kuwa pepo ipo, nakushangaa wewe unakana.
Luka 23:43 β Yesu alimwambia yule mwizi aliyetubu msalabani: "Amin, nakuambia, leo hivi utakuwa pamoja nami peponi."
Nakubali π1 Timotheo 5:23
βUsinywe maji tu, bali tumia divai kidogo kwa ajili ya tumbo lako na magonjwa yako ya mara kwa mara.β
Umekatazwa ulevi na sio pombeNakubali π
Kama dawa au kulewa?1 Timotheo 5:23
βUsinywe maji tu, bali tumia divai kidogo kwa ajili ya tumbo lako na magonjwa yako ya mara kwa mara.β
1wakorintho 6:1 Timotheo 5:23
βUsinywe maji tu, bali tumia divai kidogo kwa ajili ya tumbo lako na magonjwa yako ya mara kwa mara.β
Na miaka zaidii ya 10Kma maisha yalikufanya ukaanza kunywa, basi yanaweza kukufanya ukawa mlevi pia, meza hii
Wapi kataja pombe?1wakorintho 6:
"Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, 10 wala wezi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi"
"Yeyote apotoshwaye navyo", unasoma biblia Kirumi weweMithali 20
1 Mvinyo ni mdhihaki na kileo ni mgomvi;
yeyote apotoshwaye navyo hana hekima.
Pia kuchangamsha akiljKama dawa au kulewa?
Na Dalas ilikuwepo pia. Aiseee!!!Sema mimi nilivutiwa na ka harufu ka nanasi ,hivyo nilikua nalamba sana zed
Niliacha hata kuonja nilipofahamu kwamba unywaji mara kwa mara ni sumu mwilini ambayo inaharibu afya yako na ubongo (brain shrinkange, white matter damage na cognitive decline)Mimi: Ladha inanishinda.
View attachment 3629587