Roma akirudi awe makini asitekwe tena.
 
Ngoma imetuli. Je huko marekeni alienda mwenyewe au alikimbia kama akina lema na lissu
 
Hahaha sisi tunamkamua mkewe kiuhalisia wewe endelea kubwabwaja...bikra hata mama yako alishatolewa na mimi ndiye niliye mtoa hiyo bikra na nikamtelekeza na mimba ndio umezaliwa wewe
@Moderator Paw futeni matusi
 
I see..mbeya boy chuma..
Mimi mbona naisikiliza Mara kwa mara..njoo muone x nyumba inabomolewa lakini sikusikia hii verse..
Jiwe angemtoa korodani angeelewa hii
 
Yaani humu kweli wapumbavu wapo wengi sana kufurahia upumbavu sasa hapo mnatukanwa nanyinyi mnafurahi eti wimbo mzuri kawageuza hmna akili nanyi mmekubali
wewe ndio tahira kiwango cha rami... matusi yako wapi?
 
Wimbo mkali sana
Wimbo mtamu sana [emoji817][emoji817][emoji817][emoji1488]
 
Mimi mnisaidie, kwanini kwapa lipo karibu na bega? Binafsi, sijajua ni kwa nini?
 
I see..mbeya boy chuma..
Mimi mbona naisikiliza Mara kwa mara..njoo muone x nyumba inabomolewa lakini sikusikia hii verse..
Jiwe angemtoa korodani angeelewa hii
Ile sanaa ya jamaa ni noma sana, kuna sehemu alisema sio watumishi tena ni watumwa wa umma, hii si nchi ya amani tunaishi kwa dhuluma hapo aliuponda mfumo wote wa Magufuli ambapo watumishi walianza kuogopa kila raia wakawa wanafanyakazi kinoma akaendelea _ukiwa mnyonge hauwezi ukala na kushiba wenye nguvu za ufisadi wanakula za kuiba ripoti ya CAG imekubali hii verse alafu ndio akaanza mambo ya Baba uliye juu (Nyerere) we ndo baba wa taifa, huyu baba uliyetupa (Magufuli) hana lolote ni sifa alivyo chizi akaendelea Nitawashinda Mahakamani nitawakabili Mitaani hapa akawagusa wasiojulikana alafu akaanza kuuliza niseme nisisemee? alafu ghafla akabadilisha mada

Ukimsikiliza vizuri kwa kile kipindi jamaa alifanya jambo gumu sana akiwa live redioni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…