Hizi nyimbo ziwe zinapigwa Mashuleni Nchi nzima, maana wao ndio next generation watakaokuja kulipa haya madeni yanayokopwa na kutumika vibaya.

Huko kwenye reli SGR zimepigwa bilioni moja unusu kwa kila KM.
 
"TATIZO MKISHAAPISHWA TU, MNAWAZA UCHAGUZI UJAO"...
Hahaha.. bonge la wimbo aseeh🫑
 
Ujumbe murua kwa utawala wa CCM na walinda legacy!!
 
Huyo msomi mwenye digrii 3 anayeuza nyanya karatu ni nani? Utani na Mzee wa Mihogo Si mzuriπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

WAPINZANI wanaendelea kucheza mziki wakati DJ kazima mziki- kwamba Roma anajua pale Kuna NYUMBU?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…