Yaani humu kweli wapumbavu wapo wengi sana kufurahia upumbavu sasa hapo mnatukanwa nanyinyi mnafurahi eti wimbo mzuri kawageuza hmna akili nanyi mmekubali
 
Huu unafaa kuwa wimbo wa Taifa kwa sasa...Tuutumie huu, mambo yatakapotengamaa turudi kwenye Mungu Ibariki.
 
β€œNipeni maua yangu”

Tumezoea kusifia wafu na kuwapamba kwa majina mazuri mazuri hata kama walikuwa hawastahili kupambwa kwa majina hayo.

Roma kupitia mistari yake anausema ukweli, uhalisia wa maisha, sio mnafiki, kwakweli tumpe sifa zake mapema angali hai.
 
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini na Mjumbe wa kamati Kuu mh Godbless Lema amempongeza mwanamuziki wa Kizazi kipya Roma Mkatoliki

Lema ametuma pongezi zake kwa Wimbo mpya wa Roma " Nipeni Maua Yangu" kupitia ukurasa wake wa twitter

Ramadan kareem!
 
CCM na Andazi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…