Unapenda kubishana kama Muha.Kama kichwa cha habari kinavyosema. yeyote yule, anzisha mada yoyote tulianzishe ki mdahalo (debate), wakati wowote.
Karibuni sana. Uwanja wa wazi huu, yeyote anaweza kuchangia na kuingilia mada. Hakuna kanuni rasmi isipokuwa kanuni za JF na za dola ziheshimiwe.
Hakuna mbaya,elimu Haina mwishoBahati mbaya nimepita hapa Dada nisamehe 😀
Similiki.
Mada ilikuwa ni kuhusu kushabikia sana vita..Mada ni nini hapo😀😀
Unavyosema mada yoyote unamaanisha nini? Yaani kitu chochote tu kile nikichague pamoja na topic kisha wewe uwe upande wa pili?Kama kichwa cha habari kinavyosema. yeyote yule, anzisha mada yoyote tulianzishe ki mdahalo (debate), wakati wowote.
Karibuni sana. Uwanja wa wazi huu, yeyote anaweza kuchangia na kuingilia mada. Hakuna kanuni rasmi isipokuwa kanuni za JF na za dola ziheshimiwe.
"Debate" haimaanishi lazima kila kitu msikubaliane, kulumbana ni kubadilishana hoja, inaweza kuwa mnakubaliana au hamkubaliani kitu lakini kila mmoja na muono wake.Unavyosema mada yoyote unamaanisha nini? Yaani kitu chochote tu kile nikichague pamoja na topic kisha wewe uwe upande wa pili?
Sawa, tuanzishe mada kuhusu dini. Mimi nitasema kua Uislam ndio dini ya haki kuliko zote. Kisha wewe utapinga kua sio dini ya haki.
Mimi pia Mimi nitasema "Hakuna Mola apaswae kuabudiwa kwa haki zaidi ya Allah", na pia Muhammad ni mojawapo ya mitume yake kisha wewe utakua upande wa wanao oppose.
Twende kazi
Kwema lakini ?Hakuna mbaya,elimu Haina mwisho
Sasa ulivosema debate ya topic yoyote ndio ulikosea hapo. Kuna topic wewe hutoweza ku debate against,"Debate" haimaanishi lazima kila kitu msikubaliane, kulumbana ni kubadilishana hoja, inaweza kuwa mnakubaliana au hamkubaliani kitu lakini kila mmoja na muono wake.
Mfano Lissu na Mbowe wote ni chadema na wote ni wapinzani wa chama kilichopo madarakani lakini kila mmoja ana namna yake ya kuwasilisha hoja zake.
Ku debate sio lazima uwe against. Kuna kukhitilafiana.Sasa ulivosema debate ya topic yoyote ndio ulikosea hapo. Kuna topic wewe hutoweza ku debate against,
Sikushangai, "arsh" (Weltanschauung) ya kila mmoja wetu ni tofauti na ya mwengine.Kwenye Listi ya Wabishi humu JF top 10 upo.
😀😀
Mpaka umefikia kiwango hiki ambacho ukikibadili kwa elimu ya Tanzania inaweza kuwa ni level ya uzamivu.
Umetumia muda gani kufikia hatua hii?
Neno utatu halipati kwenye biblia. Kwanini ujipe shida ya kulielezea?Utajielezaje mpaka watu waamini "utatu mtakatifu". Hebu weka malumbano kuhusu utatu mtakatifu tuone.
Kwema kabisa mymdogowanguKwema lakini ?