Nipo tayari kulumbana (Debate) na yeyote kuhusu chochote

Kama kichwa cha habari kinavyosema. yeyote yule, anzisha mada yoyote tulianzishe ki mdahalo (debate), wakati wowote.

Karibuni sana. Uwanja wa wazi huu, yeyote anaweza kuchangia na kuingilia mada. Hakuna kanuni rasmi isipokuwa kanuni za JF na za dola ziheshimiwe.
Unapenda kubishana kama Muha.
Bibi mjinga wewe [emoji706]
 
Mada: utamu wa sex
Mara yako ya kwanza kufanya tendo hilo ulijisikiaje? Ulifanya na mtu mwingine ambaye sio huyu mmeo wa sasa hv.
Binafsi nili enjoy balaa!.
 
Kama kichwa cha habari kinavyosema. yeyote yule, anzisha mada yoyote tulianzishe ki mdahalo (debate), wakati wowote.

Karibuni sana. Uwanja wa wazi huu, yeyote anaweza kuchangia na kuingilia mada. Hakuna kanuni rasmi isipokuwa kanuni za JF na za dola ziheshimiwe.
Unavyosema mada yoyote unamaanisha nini? Yaani kitu chochote tu kile nikichague pamoja na topic kisha wewe uwe upande wa pili?

Sawa, tuanzishe mada kuhusu dini. Mimi nitasema kua Uislam ndio dini ya haki kuliko zote. Kisha wewe utapinga kua sio dini ya haki.

Mimi pia Mimi nitasema "Hakuna Mola apaswae kuabudiwa kwa haki zaidi ya Allah", na pia Muhammad ni mojawapo ya mitume yake kisha wewe utakua upande wa wanao oppose.

Twende kazi
 
"Debate" haimaanishi lazima kila kitu msikubaliane, kulumbana ni kubadilishana hoja, inaweza kuwa mnakubaliana au hamkubaliani kitu lakini kila mmoja na muono wake.

Mfano Lissu na Mbowe wote ni chadema na wote ni wapinzani wa chama kilichopo madarakani lakini kila mmoja ana namna yake ya kuwasilisha hoja zake.
 
FaizaFoxy

Nikweli mtume saw alioa katoto ka miaka 9?
kama nikweli upo tiyari wewe mtoto wako wa miaka 9 nimuoe?

Kwanini waislam mnawatukuza sana waarabu kiasi kwamba kila analo fanya mwarabu linaonekana ni sahihi hata kama ni baya?

Inesemekana ukiwa maca hurusiwi kuvaa chupi au boxer ukweli ni upi?

tangu shetwani aanze kupigwa mawe pale maca je hajawahi kufa au kukimbia eneo hilo?
kama jibu ni hajafa hadi leo nini maana ya kumpiga kwa mawe?

navyosikia hata hayo mawe mnayo mpondea shetani huwa mnanunua je hamuoni kuwa ni biashara ya watu wamewekeza hapo? karibu sana kwa madahalo
 
Utajielezaje mpaka watu waamini "utatu mtakatifu". Hebu weka malumbano kuhusu utatu mtakatifu tuone.
 
"Debate" haimaanishi lazima kila kitu msikubaliane, kulumbana ni kubadilishana hoja, inaweza kuwa mnakubaliana au hamkubaliani kitu lakini kila mmoja na muono wake.

Mfano Lissu na Mbowe wote ni chadema na wote ni wapinzani wa chama kilichopo madarakani lakini kila mmoja ana namna yake ya kuwasilisha hoja zake.
Sasa ulivosema debate ya topic yoyote ndio ulikosea hapo. Kuna topic wewe hutoweza ku debate against,
 
Ku debate sio lazima uwe against. Kuna kukhitilafiana.

Sijui shule ipi ilikufundisha kuwa ku debate ni lazima muwe against
Kwenye Listi ya Wabishi humu JF top 10 upo.
😀😀
Mpaka umefikia kiwango hiki ambacho ukikibadili kwa elimu ya Tanzania inaweza kuwa ni level ya uzamivu.
Umetumia muda gani kufikia hatua hii?
Sikushangai, "arsh" (Weltanschauung) ya kila mmoja wetu ni tofauti na ya mwengine.

Yako inaona ni "ubishi", yangu inaona ni elimu.
 
Utajielezaje mpaka watu waamini "utatu mtakatifu". Hebu weka malumbano kuhusu utatu mtakatifu tuone.
Neno utatu halipati kwenye biblia. Kwanini ujipe shida ya kulielezea?

Lipo kwenye Qur'an pekee:

Qur'an5:73
Kwa hakika wamekufuru walio sema: Mwenyezi Mungu ni wa tatu wa Utatu. Hali hakuna mungu ila Mungu Mmoja. Na ikiwa hawaachi hayo wanayo yasema, kwa yakini itawakamata adhabu chungu wale wanao kufuru. 73
 
Kwann ulipokonywa watoto mpaka wa miaka 3 ,nikweli pamoja na ujanja wako wote huo ,huwezi kulea
 
Ndio tulumbane sasa, si uko tayari kulumbana kuhusu chochote.
Screenshot_20240409-171958_Chrome.jpg

Mimi nitasema kua Uislam ndio dini ya haki kuliko zote. Kisha wewe utapinga kua sio dini ya haki.

Back
Top Bottom