Nipo tayari kuwekeana pesa na mtu anayebisha Lissu hatashinda. Anayebisha tuwekeane Laki tano tano


Mbowe ni mtu Mkubwa na mwenye mchango Chanya wa kukumbukwa

Lisu hata akishinda lazima amtumie Mbowe kwa sababu kuna mambo Mbowe anayo ambayo Lisu hana
 
Mbowe ni mtu Mkubwa na mwenye mchango Chanya wa kukumbukwa

Lisu hata akishinda lazima amtumie Mbowe kwa sababu kuna mambo Mbowe anayo ambayo Lisu hana
Walioanza siasa majuzi kati ndiyo pekee wanaweza kumdharau na kumbeza Mh. Mbowe.

Lissu ameingizwa chaka na wanaharakati uchwara, na nawaambia hapa kwamba HATAFIKA POPOTE KISIASA - bet.
 
Wakuu!

Retired FUSO Tlaatlaah
Ambaye yupo tayari aweke Laki mbili Mimi naweka Laki tano.
Lisu akishindwa unachukua Laki tano.
Akishinda nachukua hiyo Laki Mbili.

Aliyetayari kwa Mchezo aniambie tucheze. Mwisho tarehe 15

Nasubiri
Nenda kwenye betting Yanga jumamosi inampiga mwarabu goli 3, ingiza pesa yako hapo uvune mpunga mrefu acha kuota ndoto za mchana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…