binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Robert hata sisi tunajua TL anashinda na anatakiwa kushinda.
Tatizo ni moja tu!!!!!!!
Tatizo ni moja tu!!!!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo confidence hawanaKwa kinachoendelea hawatathubutu
Tume ya Uchaguzi😅😅Robert hata sisi tunajua TL anashinda na anatakiwa kushinda.
Tatizo ni moja tu!!!!!!!
Mkuu siasa za CDM safari hii zipo kimtego sana.Weka laki mbili Mimi naweka Laki tano.
Hata mimi naona kama wameiga zile mbwembwe za ccm na kuzidiMkuu siasa za CDM safari hii zipo kimtego sana.
Binafsi naamini kabisa Lissu anaenda kushinda. Nimejarubu kumfuatilia Mbowe kwa namna anavyouendea huu uchaguzi, ni kama wanawafanyia watu sanaa.
Wameamua kabisa kuliteka jukwaa la siasa za Tanzania. Nakuhakikishia zitapoa endapo tu CCM watakuja na mgombea moya wa urais hapo July.
Vinginevyo CDM wasumbua sana mitandaoni na kila kona.
2025 utakuwa uchaguzi mgumu sana.Hata mimi naona kama wameiga zile mbwembwe za ccm na kuzidi
Utateseka sana siku hiyoHiyo hela laki tano lofa wewe na maskini mkubwa huna nani abeti na maskini kama wewe
Huwezi lipa
Lisu hashindi
Si ndio!!! 😅Tume ya Uchaguzi😅😅
Angekuwa nayo hiyo laki tano angemchangia Lissu hata buku kwenye maombi yake ya kununuliwa gari!Hiyo hela laki tano lofa wewe na maskini mkubwa huna nani abeti na maskini kama wewe
Huwezi lipa
Lisu hashindi
Niko tayari!
Mpatie Brother Paskal,aweke hiyo fedha
Angekuwa nayo hiyo laki tano angemchangia Lissu hata buku kwenye maombi yake ya kununuliwa gari!
Lissu hatoboi, ajiandae kurudi Ubelgiji tarehe 22 asbh kujificha.
Kwa uhakika hizo pesa nipeni Mimi nishike jomon
Mkuu siasa za CDM safari hii zipo kimtego sana.
Binafsi naamini kabisa Lissu anaenda kushinda. Nimejarubu kumfuatilia Mbowe kwa namna anavyouendea huu uchaguzi, ni kama wanawafanyia watu sanaa.
Wameamua kabisa kuliteka jukwaa la siasa za Tanzania. Nakuhakikishia zitapoa endapo tu CCM watakuja na mgombea moya wa urais hapo July.
Vinginevyo CDM wasumbua sana mitandaoni na kila kona.
Naona bado haujamsikia mkeo kuhusu pesa ya gari
Bora aje akusome humu akunyooshe 🤗
Kuna shabiki wa Yanga aliahidi Simba akiingia robo fainali anampa mwandishi milioni moja. Ahahahahaha!!!Mbona hamjitokezi ubishi uwe WA hela huu