Nipo tayari kuwekeana pesa na mtu anayebisha Lissu hatashinda. Anayebisha tuwekeane Laki tano tano

Weka laki mbili Mimi naweka Laki tano.
Mkuu siasa za CDM safari hii zipo kimtego sana.

Binafsi naamini kabisa Lissu anaenda kushinda. Nimejarubu kumfuatilia Mbowe kwa namna anavyouendea huu uchaguzi, ni kama wanawafanyia watu sanaa.

Wameamua kabisa kuliteka jukwaa la siasa za Tanzania. Nakuhakikishia zitapoa endapo tu CCM watakuja na mgombea moya wa urais hapo July.

Vinginevyo CDM wasumbua sana mitandaoni na kila kona.
 
Hata mimi naona kama wameiga zile mbwembwe za ccm na kuzidi
 
Lissu hatoboi, ajiandae kurudi Ubelgiji tarehe 22 asbh kujificha.
 
Mkuu siasa za CDM safari hii zipo kimtego sana.

Binafsi naamini kabisa Lissu anaenda kushinda. Nimejarubu kumfuatilia Mbowe kwa namna anavyouendea huu uchaguzi, ni kama wanawafanyia watu sanaa.

Wameamua kabisa kuliteka jukwaa la siasa za Tanzania. Nakuhakikishia zitapoa endapo tu CCM watakuja na mgombea moya wa urais hapo July.

Vinginevyo CDM wasumbua sana mitandaoni na kila kona.

Ni Kweli
 
Back
Top Bottom