fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,699
- 9,323
Baki na huyo msukuma wako,hayo mambo ya kuwa na mke msameheane na muanze maisha kwa amani na furaha.Usiogope mini pia nipo Mwanza ukitaka ushauri niambieHabari za muda humu
Nitasema ukweli Kama Kuna hukumu Basi nihukumiwe wote tunakosea Hakuna mkamilifu
Nachoitaji ni ukweli mchungu hata kama utaniuma ni sawa ilimradi nisiharibu maisha yangu maana Naona kama shetani amedhamiria kuniharibia maisha
Nimeshaleta story ya Kijana wangu wa kisukuma humu mkanishauri nikashupataza shingo
Huyu mwanaume tuna miaka 3 sasa tangu 2024 na Nina miezi 7 toka nianze kuishi nae..Tulikutana nikiwa na 24 yeye aliniambia ana 27( alinidanganya now ana 35)
Amenitoa nyumbani kwetu kanipeleka mkoa anaoishi yeye(kanda ya ziwa) ndugu zangu wanajua Niko nafanya kazi kumbe nimewekwa kinyumba na msukuma
Amenifungulia Biashara ninayoiendesha mwenyewe kwani aliniambia nitafute wazo la Biashara yeye ataniwezesha ametimiza inaendelea vizuri na yeye hausiki na chochote kwenye hiyo Biashara na ananihudumia vizuri
Changamoto
Tulikuwa na ugomvi mzito tangu mwezi wa 6 baada ya kugundua ana mke (amemlipia mahari wamezaa watoto wawili kwa msukuma ukishalipiwa mahari ni mke tayari)
Ukweli nimeumia sana maana sikutegemea Kama ningekutana na kitu Kama hiki
Lakini mwenzangu yuko kawaida kabisa Kama Hakuna kilichotokea anasema ni kawaida kwao kuoa mitala nitulie Mimi ndio mke mdogo yule atabaki kwenye nafasi yake Kama mke mkubwa na Hakuna anaeachwa
Hii hali inaniumiza Kila nikifikiri mekuaje nimejiingiza humo
Halafu yeye hajali yaani kama Hakuna kilichotokea
Sasa Kuna ex wangu nili soma nae shule tukaachana zamani hiyo kwasababu za umbali amerudi anataka kunioa nawaza nimuache tu huyu nirudi kwa ex au nikae nae tu hivyohivyo
Nishauriwe jamani msianze kunichamba na maneno ya kejeri π₯Ίπ₯Ί
Dunia ni uwanja wa vitaTatizo mama mijengo wanaturoga na mie naogopa
Kwaiyo unanishauri nibaki na msukumaMuogope π
Samahani wewe una wake wawili au na wewe msukuma??Baki na huyo msukuma wako,hayo mambo ya kuwa na mke msameheane na muanze maisha kwa amani na furaha.Usiogope mini pia nipo Mwanza ukitaka ushauri niambie
πDunia ni uwanja wa vita
Hapana mimi sio msukuma ila ndio nina wake 2Samahani wewe una wake wawili au na wewe msukuma??
Mmh dini gani??Hapana mimi sio msukuma ila ndio nina wake 2
SalamaSijambo
Mambo
Maisha ni yako.Kwake kutoa mahari anataka hata kesho lakini hata familia yangu utachukuliaje Hilo suala Kama nitakubali
Nauza vifaa vya ujenzi boss nipo Kahama karibuSalama
Naomba kuwa mteja wako
Kesi yake ngumu kwa kweli. Lakini kabla hajachukuliwa kwao rasmi hakutambulishwa ukweni?kwa hiyo mkuu unamshauri aondoke navyo huwezi jua roho ya mutu pengne anaweza akaondoka navyo then ikamletea madhara mbeleni kama hataki kuishi naye atenane naye tu au ww unaonaje
Mmmh ameshasema anaweka mambo sawa kila kitu kitakuwa kwenye mstari sasa hivi anataka aniweke vizuri kiuchumi niweze kujisimamiaMaisha ni yako.
Kama yuko serious, muambie amuweke wazi na mke mkubwa, ikiwezekana awakutanishe.
Kisha huyo mke mwenzio kwa muda wako jenga naye ukaribu akupe uhalisia wa huyo mume wenu.
Kama atakuwa ana uwezo wa kuwaoa wote wawili, basi kubali.
Mbona unanifokea jmnAcha mali za watu nenda kaolewe na huyo ex wako maana msukuma amekujali kila kitu huoni thamani acha izo biashara kaolewe
ππKesi yake ngumu kwa kweli. Lakini kabla hajachukuliwa kwao rasmi hakutambulishwa ukweni?
Lakini kama akiamua kuondoka anaweza kutumia hiyo sababu ya kutoambiwa tangu mwanzo na akaeleweka ila sasa ili kusiwe na misunderstandings ni bora aache kila kitu akichofanyiwa na msukuma yaani hiyo biashara aliyofunguliwa na assets zingine akizinunuliwa kama zipo.
Maana hayo makabika ya kanda ya ziwa kukucharaza mapanga ni dakika 0 tu
YaaaaKwaiyo unanishauri nibaki na msukuma
Ooh!!Akhsante sanaNauza vifaa vya ujenzi boss nipo Kahama karibu
RUdi ex wangu tujenge maisha.Habari za muda humu
Nitasema ukweli Kama Kuna hukumu Basi nihukumiwe wote tunakosea Hakuna mkamilifu
Nachoitaji ni ukweli mchungu hata kama utaniuma ni sawa ilimradi nisiharibu maisha yangu maana Naona kama shetani amedhamiria kuniharibia maisha
Nimeshaleta story ya Kijana wangu wa kisukuma humu mkanishauri nikashupataza shingo
Huyu mwanaume tuna miaka 3 sasa tangu 2024 na Nina miezi 7 toka nianze kuishi nae..Tulikutana nikiwa na 24 yeye aliniambia ana 27( alinidanganya now ana 35)
Amenitoa nyumbani kwetu kanipeleka mkoa anaoishi yeye(kanda ya ziwa) ndugu zangu wanajua Niko nafanya kazi kumbe nimewekwa kinyumba na msukuma
Amenifungulia Biashara ninayoiendesha mwenyewe kwani aliniambia nitafute wazo la Biashara yeye ataniwezesha ametimiza inaendelea vizuri na yeye hausiki na chochote kwenye hiyo Biashara na ananihudumia vizuri
Changamoto
Tulikuwa na ugomvi mzito tangu mwezi wa 6 baada ya kugundua ana mke (amemlipia mahari wamezaa watoto wawili kwa msukuma ukishalipiwa mahari ni mke tayari)
Ukweli nimeumia sana maana sikutegemea Kama ningekutana na kitu Kama hiki
Lakini mwenzangu yuko kawaida kabisa Kama Hakuna kilichotokea anasema ni kawaida kwao kuoa mitala nitulie Mimi ndio mke mdogo yule atabaki kwenye nafasi yake Kama mke mkubwa na Hakuna anaeachwa
Hii hali inaniumiza Kila nikifikiri mekuaje nimejiingiza humo
Halafu yeye hajali yaani kama Hakuna kilichotokea
Sasa Kuna ex wangu nili soma nae shule tukaachana zamani hiyo kwasababu za umbali amerudi anataka kunioa nawaza nimuache tu huyu nirudi kwa ex au nikae nae tu hivyohivyo
Nishauriwe jamani msianze kunichamba na maneno ya kejeri π₯Ίπ₯Ί
Wow karibu mimi Niko mbuluOoh!!Akhsante sana
Nitakaribia,nipo KAHAMA mtaa wa IGOMELO hapa
NITAKUWA MTEJA WAKO ENDELEVU
ππRUdi ex wangu tujenge maisha.
Note: hata mimi ni msukuma lakini.