Niskilizeni mimi, wachezaji hawa yanga waachwe/wabaki

Sasa si ni Sawa na kuwa na Kibu Denis? ana faida gani?
 
Dada yangu Nifah najua unajua Kuna kitu inaitwa long term plan tuna invest kwa Mzinze utakuja kuelewa baadae kama viongozi watamtunza Mzinze.
Akija kuwa dhahabu akasaidia timu pakubwa au akauzwa pesa ndefu ya kuwanunulia tusiowaweza kuwamudu kwa sasa utaelewa hili somo.

Hao unaowataka kwa sasa hatuna pesa hiyo tusijidanganye.
GSM hawezi kujenga uwanja na kununua wachezaji wa mmoja bilioni 2. I'm talking about clinical striker, yule Mayele ilitokea bahati mchezaji bei rahisi kuwa kiwango kile. It's one in a million in life time.
Yanga sio chuo cha malezi, ndio maana nimesema hana hadhi ya kucheza Yanga. Tunahitaji wachezaji wa kuleta mchango wa makombe kwenye timu.

Unafikiri angekuwa Mayele pale si tungekuwa nusu fainali?
 
Skudu bado hajapata muda vizuri abaki, Faridi mussa abaki

Wa kuondoka metacha may be mauya , Kibwana ajitahidi kazini kwake kuna kazi kama anavyosema yeye, captain NONDO wa kufikiriwa
Skudu ni mgeni, huwezi kumuacha akaziba nafasi ya wageni, aende tu akacheze kwaoto.
 
Kwa wachezaji wa ndani unadhani ni kazi rahisi kupata kiwango cha Mudathir?
Haijalishi ila anzingua sn yule mpemba akiwa na mpira haangalii nyuma yake nani anakuja wanamkaba na kichukua mipira kirahisi pasi anazotoa ni mkaa, nafasi ya muda apepe kiungo punda mkude muda aende ihefu.
 
Sisi tunamsikiliza Gamondi na Injinia tu; ukitaka uskilizwe wewe basi anzisha timu yako.
 
Mzize ni striker mzuri tuongee kimpira.
Ila anachokosa yeye ni umakini tu.
Mtizame Yanga dhidi ya El merrekh alifunga nyumbani na ugenini.
Mtizame derby ya kariakoo ya 5-1 alivyoingia alitoa mchango wa magoli mawili.
Mzize anachohitaji ni improvement tu akiwa golini.
 
This is what I'm talking.
 
Yanga sio chuo cha malezi, ndio maana nimesema hana hadhi ya kucheza Yanga. Tunahitaji wachezaji wa kuleta mchango wa makombe kwenye timu.

Unafikiri angekuwa Mayele pale si tungekuwa nusu fainali?
Exactly, Yanga sio academy ya malezi ya soka. Pale wanatakiwa waje profesional tu
 
Tunahitaji wachezaji wa kuleta mchango wa makombe kwenye timu.
Mzinze ana mchango mkubwa kufika hatua ya Makundi CCL.
Ana mchango mkubwa kwenye FA Cup msimu uliopita na huu.
Ana mchango ligi kuu wa goals na assist. Kumbuka assist kwenye Derby ya kwanza ya 5-1.
Unapozungumzia point 6 na goli 7 dhidi ya Simba lazima umtaje Mzinze.
 
Exactly, Yanga sio academy ya malezi ya soka. Pale wanatakiwa waje profesional tu
Hii mentality ilimponza Barcelona kwa Denis suarez.
Denis Suarez alikua 100% Messi mtoto.
Na messi aliwasihi barcelona msimuuze Denis Suarez ni mbadala mkubwa wa Barcelona akuzwe hapa alelewe hapa.
Mwishowe wakamuuza kaenda arsenal sijui asahivi yuko wapi washamfuja kipaji na barca haina no.10 ya maana.
Timu inatakiwa iwe na sehemu mbili ya kukuzia kipaji mbadala na wachezaji mapro wa kuingia directly kwa mfumo.
Itizame Real madrid inatamba na kina Asensio na kina vinicious junior na kina Velverde,wale wamelelewa Los Blancos.
 
Wanamsahau Saka aliyekuzwa Arsenal na leo tegemeo.
Wanawasahau wachezaji wa Man U waliowapa treble 1999 walikuzwa pale pale.
 
Wewe unajua sana mkuu
 
Ndio maana sitaki kumsikia jamaa. Ni kama Musonda alivyotunyima Kombe la shirikisho kule Algeria kwa uchoyo wake. Angempa pasi Mayele kombe lingekuwa jangwani pale.
Umesahau hata penalt tuliyopata ilitooka kwa musonda

Mimi naona kila MTU abaki na mtazamo wake tu
Mwisho tutaona yupi ataachwa
 
Wanamsahau Saka aliyekuzwa Arsenal na leo tegemeo.
Wanawasahau wachezaji wa Man U waliowapa treble 1999 walikuzwa pale pale.
Ndicho nachokisema hapa mkuu.
Barca ilipoteza misingi ya academy kuvivumilia vipaji mwishowe wakaendekeza sajili sajili mwishowe mnasajili mtu anashindwa kuingia kwa mfumo kama Malcolm na Griezmann,hao wachezaji wazuri wa kimataifa ila wakagoma kuingia kwa mfumo wa Barca,asa hivi barca watu wanajipigia tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…