Anasahau Musonda aliwezesha timu kuvuka Makundi goli la TP Mazembe.Umesahau hata penalt tuliyopata ilitooka kwa musonda
Mimi naona kila MTU abaki na mtazamo wake tu
Mwisho tutaona yupi ataachwa
Kwahiyo inampa uhalali wa kumnyima nafasi ya wazi Mayele aliyekuwa peke yake na goli?Umesahau hata penalt tuliyopata ilitooka kwa musonda
Mimi naona kila MTU abaki na mtazamo wake tu
Mwisho tutaona yupi ataachwa
Kwani nimesema Musonda hafai? Hiyo nimeiweka kama reference kwenye hoja yangu ya Mzize.Anasahau Musonda aliwezesha timu kuvuka Makundi goli la TP Mazembe.
Anasahau goli alilowafunga Malumo Gallants kwao assist ya Mayele. Tungefikaje fainali?
CC: Nifah
🤣Mkuu usichekeshe umma!Muda naye wakuachwa tu ana kitete akiwa na mpira hana utulivu kabisa.
Mechi ya kwanza ya derby Pacome ndio aliibeba mechi yote, tusingezungumza goli 5 hapa bila yeye.Mzinze ana mchango mkubwa kufika hatua ya Makundi CCL.
Ana mchango mkubwa kwenye FA Cup msimu uliopita na huu.
Ana mchango ligi kuu wa goals na assist. Kumbuka assist kwenye Derby ya kwanza ya 5-1.
Unapozungumzia point 6 na goli 7 dhidi ya Simba lazima umtaje Mzinze.
Huyo anaempa mbususu Aziz K awepe heshima yake ndio maana jamaa katuliza wenge ana score bila paparaAziz huyuhuyu aliyeletewa maua akalia? Nikwambie tu anatoka na mwanamke ambaye ni rafiki na yule Karen anayetoka na Pacome.
Wachezaji wa kibongo wanamapungufu mengi kupata ambao hawana makosa ni nadra sanaMuda naye wakuachwa tu ana kitete akiwa na mpira hana utulivu kabisa.
UjueKwahiyo inampa uhalali wa kumnyima nafasi ya wazi Mayele aliyekuwa peke yake na goli?
Hata Mayele mwenyewe katunyima magoli mengi kwa ubinafsi wake! Musonda asiguswe huyo jamaa ana kismat sana angalia mechi zote ambazo amefunga hatujawahi kupotezaKwahiyo inampa uhalali wa kumnyima nafasi ya wazi Mayele aliyekuwa peke yake na goli?
Mkuu unajua maana ya mjadala? Hata wewe wachezaji uliosema hawafai waachwe mbona kuna jamaa wamekupinga? Kila mmoja ana mawazo yake na ndio maana ya mjadala.Ujue
Mkuu Mimi naona unahukumu wachezaji kwa tukio moja moja
Mfano musonda kummyima nafasi mayele au hapo mzize kukosa goli dhidi ya mamelodi
Hapo hapo kuna mdau kasema muda aachwe ukadai asiachwe sababu kuna muda analikamata dimba .!
Ndiyo ujue sio kila game utapewa superb performance kama ambavyo muda juzi hakuwa kwenye ubora wake ndivyo kina musonda na mzize hawawezi kucheza vizuri kila match
Huyo mayele mwenyewe alikuwa anakosa sana magoli mepesi na kufunga magumu .
Mimi nimetolea mwamnyeto ajitafakari sababu ya makosa mfululizo .
Sasa ujue sikuelewi mkuu what do you mean?
Tena sanaHata Mayele mwenyewe katunyima magoli mengi kwa ubinafsi wake! Musonda asiguswe huyo jamaa ana kismat sana angalia mechi zote ambazo amefunga hatujawahi kupoteza
Mimi Musonda namkubali, na katika maoni yangu ya jumla nimesema abaki ila Mzize ndio aondoke.Hata Mayele mwenyewe katunyima magoli mengi kwa ubinafsi wake! Musonda asiguswe huyo jamaa ana kismat sana angalia mechi zote ambazo amefunga hatujawahi kupoteza
Ndiyo na hakuna sehemu umetukanwa wala kubughudhiwaMkuu unajua maana ya mjadala? Hata wewe wachezaji uliosema hawafai waachwe mbona kuna jamaa wamekupinga? Kila mmoja ana mawazo yake na ndio maana ya mjadala.
Usingetaka mawazo mbadala ungekaa kimya, ila kwa kuwa umelileta hapa lazima tuchangie kwa maoni yetu na sivyo unavyoona au kutaka wewe.
Tatizo ni replacement yake, kumbuka wamepita washambuliaji wengi wazawa hakuna alieonyesha uwezo mfano Waziri Jr , Tariq Seif, Yusuf Athuman, Matteo Antony etc bado hakuna kitu afadhari kumvulia huyo dogo ata improveMimi Musonda namkubali, na katika maoni yangu ya jumla nimesema abaki ila Mzize ndio aondoke.
Wachezaji wa kitanzania wanakosa ile commitment,wengi hawachukulii mchezo kwa umakini uleWachezaji wa kibongo wanamapungufu mengi kupata ambao hawana makosa ni nadra sana
Hahahahaha..hawa ndugu zangu [ wajomba ] nimeishi nao kule kwao huwa wako hivyo , starehe sanaEeeh bwana eeh! Jamaa kafeli sana kama ndio hivyo.
Tatizo shule hamna kule na anaokota sana.
Asante mwananchi kwa bandiko lako ya kuhusu maboresho ya timu, binafsi naona kwa hatua iliyofikia Yanga kwasasa inatakiwa isiwe na wachezaji wanaopishana sana viwango. Yanga msimu ujao wanataka kuprove watu kuwa walioonewa kuishia robo fainali ya klabu bingwa, wanatakiwa kushiriki AFL kama haitofutwa ( kuna tetesi kwamba wajumbe wamekataa CAFCC kufutwa ni bora ifutwe AFL) bado inabidi itete mashindano ya ndani, hivyo kutakuwa na mashindano mengi sana kushiriki hivyo kunahitajika uwiano uliokuwa sawa kati ya first eleven na wachezaji waliopo benchi. Kama wachezaji wanacheza timu kubwa ya Yanga lakini inafungwa na APR au Ihefu hawana maana.
Kwahiyo sister kwamba bora makudubela?Wachezaji wa kuondoshwa haraka Yanga bila kujali na sitatoa sababu ni Jonas Mkude pamoja na Lomalisa Mutambala.
Jonas ni kirusi, hafai kubaki la sivyo tutakuja kulaumiana.
Hujacheza hata ndondo mkuuKwahiyo inampa uhalali wa kumnyima nafasi ya wazi Mayele aliyekuwa peke yake na goli?