Nitaifichaje hii aibu ili niweze kurudisha heshima yangu

Waite halafu kunywa tena na wazingue tena, baada ya hapo watachukulia kawaida..!!

Sio kila moto unazimwa kwa maji, sometimes moto unazimwa kwa moto..!!
kwanza anajishtukia tu hta hawajali kabisa, na ukute washasahau kwann ujitie hatia wakati hukumpiga mtu , kila mtu ana faults zake kibao, ukiona ana shughulika na yako bs ana matatizo
 
Unajua kwa nini?
Kwa msaada wa Gemini AI hapa chini kuna sababu kwa nini watu wakilewa kupitiliza hawawezi kusema uongo / kudanganya.


1. Kulegea kwa Udhibiti wa Akili (Inhibition Loss) – Pombe hupunguza uwezo wa ubongo wa kujidhibiti, hivyo mtu anaweza kusema mambo ambayo kawaida angeyaficha au kuyachuja.


2. Kuongezeka kwa Uwazi (Honest Drunk Effect) – Watu wakilewa mara nyingi huwa na ujasiri wa kusema hisia zao za kweli kwa sababu hawahisi aibu au hofu ya matokeo.


3. Kupungua kwa Uwezo wa Kufikiria kwa Undani – Kudanganya kunahitaji mtu afikirie, apange, na ajikinge ili uongo wake usijulikane. Pombe hupunguza uwezo wa mtu wa kupanga, hivyo kufanya iwe vigumu kudanganya kwa mafanikio.


4. Mabadiliko ya Hisia na Maadili – Pombe inaweza kuathiri maadili ya mtu kwa muda mfupi, na kuwafanya wasiwe na msukumo wa kuficha ukweli.
 
Heshima hujengeka kwa miaka na miaka lakini huvunjwa siku Moja TU 🤣

Kiufupi kioo kikishavunjika hata ukijaribu kukirudishia hakitakuwa kama mwanzo
 
😹😹😹 Tatizo hajaongea wanywaji tumpe nondo..!!
Walokole ndo mitakataka gani? 🤣
Ana dharau sana kijana , aambiwe tu pombe zilishatukutanisha na wakubwa na tukalamba madili mpaka kesho yake unajitazama kwa kioo unacheka tu😆
 
kwanza anajishtukia tu hta hawajali kabisa, na ukute washasahau kwann ujitie hatia wakati hukumpiga mtu , kila mtu ana faults zake kibao, ukiona ana shughulika na yako bs ana matatizo
Anaogopa macho ya watu, wakati kanisani kwetu kulikuwa na upadrisho mapadri wamelewa na wanabambia nyimbo ya “Mimina ziteremshe tuzipokee bwana” 😹😹

Na kesho wako altareni wanaendesha misa km hakuna kilichotokea..!! 🤣
 
Mkuu hiyo ni akili bandia ila akili ya kawaida ni kwamba wanywa pombe ni watakatifu walio salia duniani achana na walevi waliokosa akili.
 
Haukupaswa kuleta hii issue humu. Haya angalia comments za watu ngapi zimekujenga na ngapi zinazidi kubomoa.
Ulitakiwa kuonana na mshauri mwanasaikolojia akusaidie ushauri namna gani ya kupandisha heshima yako iliyoshuka. Hiyo ni profession siyo kila mtu anakushauri. Mimi binafsi nikiamua kuleta kitu humu huwa ninakuwa nimeshafanya tathmini ya wakosoaji na wajengaji. Wengi humu hata uongee kitu chenye uzito kiasi gani bado watakukejeli. Ni hayo tu kwa leo. Ushauri wangu kwanza acha pombe kabisa, aliyesema pombe siyo chai hajakosea. Pili omba msamaha kwa unaoona umewakosea. Kama unaona damage ni kubwa kiasi kwamba haiwezekani kusahaulika bora uombe hata uhamisho uende sehemu nyingine uanze upya
 
Anaogopa macho ya watu, wakati kanisani kwetu kulikuwa na upadrisho mapadri wamelewa na wanabambia nyimbo ya “Mimina ziteremshe tuzipokee bwana” 😹😹

Na kesho wako altareni wanaendesha misa km hakuna kilichotokea..!! 🤣
Halafu ma paaadiri wana katabia kakuchanganya kale ka damu ya yesu na nyagi , wakisha kagida unaona wananuru ya utukufu kabisa.
 
Vipi umeshaanza kusoma magazeti?
 
Wa kumuomba msamaha ni mmoja tu ambae ni mkuu wa mkoa...hao wengine shikilia bango kwamba ilikua ni Pombe 🤣🤣
 
Ni kweli kabisa. Ila watu kama nyie mpo kwa ajili ya kusaidia watu kama wao 😜😅
 
Wewe kausha atakayekuuliza mwambie sikumbuki, uombe msamaha utaomba wangapi?
Wenzio tushawazaba makofi hadi polisi tukalala rumande ungesemaje?
Mwingine mpaka anatongoza mamamkwe akifikiria ni baamedi asemeje.
Sisi walevi hatukuungi mkono kwa hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…