Nitaifichaje hii aibu ili niweze kurudisha heshima yangu

Acha pombe okoka, hama mtaa
 
Beba makosa yako with your head held high.

Andika email kwa staff woote waombe msamaha, waambie hukudhamiria na umejifunza kutokana na yaliyotokea pia utachukua hatua stahiki kuhakikisha yaliyotokea hayatajirudia

Then sobber it, usiongelee Hilo Jambo tena. Hata MTU akikuuliza unamshangaa

In a week litaisha

Ukijifucha utakuwa laughing stock, yaani watu woote wanakucheka wewe. Ila ukiliendea front watu ndo wataona aibu kukusema.

All the best
 
Vipi wale uliowatongoza, kuna yeyote kakukubalia? Huo ndo uanaume sasa siyo unakufa na tai shingoni. Siku moja moja unalewa unamwaga sera, udomo zege nao siyo poa.
 
Huyo ndio wewe halisi sasa hyo heshima unayosema ulikuwa nayo ilikuwa ya kuigiza hapo sasa ni ubaya ubwela endelea kupiga vyombo maji yakimwagika hayazoleki
 
Ulichokifanya ndiyo tabia yako halisi ila huwaunajitahidi kuificha tu. Pombe inatabia ya kusema ukweli daima. Chombilecho Warumi kwenye mvinyo ndiyo kwenye ukweli.
 
Hakuna mtu atayekuhukumu kwa matendo wakati hauna akili, labda mama umepiga mtu, piga kimya, maisha yaendelee, kwani si ulifanya wakati hauna akili? Kwa nini inakutesa wakati una akili? Ila ukijua wewe ni kichwa cha pansies, pombe za nini?
 
Ahsante brother
 
Pombe husema ukweli sikuzote
Minyege imemponza Mkurugenzi wa GPSA sasa kibarua kimeota nyasi kisa kuna kimalaya kilikua kinainyonya akanogewa mpaka akasahau kazi Ngoooswe
 
Huyo ndio wewe halisi sasa hyo heshima unayosema ulikuwa nayo ilikuwa ya kuigiza hapo sasa ni ubaya ubwela endelea kupiga vyombo maji yakimwagika hayazoleki
Hapana nina heshima mno ndugu yangu kiasi kwamba naona kama ni shetani tu ikumbukw sijawahi kunywa kabisa
 
Relax mkuu.
Kawaida sana hizo kwa watu wa pombe.....punguza kujilaumu na kujihukumu kwa vitu vidogo kama hivi.
Apitie hapa ataelewa...nna jamaa qngu yey alilewa hadi akavua nguo...ila next day kazi kama kawa....nlishangaa sana ule ujasiri...yaan rungu nje nje jamii mzimq inamtazama ila hakuhofia chochote
 
Nadhani kilichowashangaza watu siyo yale maneno au vituko ulivyofanya bali hawakujua kama wewe unakunywa pombe ndicho kilichowashangaza.
Dawa ni kuendelea kunywa ijulikane moja.
Vinginevyo omba uhamisho!
 
Apitie hapa ataelewa...nna jamaa qngu yey alilewa hadi akavua nguo...ila next day kazi kama kawa....nlishangaa sana ule ujasiri...yaan rungu nje nje jamii mzimq inamtazama ila hakuhofia chochote
Ahahaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…