Niwaombe watu wa dini wakae mbali na siasa za Afrika

Uwaombe pia
Uwaombe pia wasiwe wanawaapisha pale uwanja wa taifa
 
Wapeni watu haki zao na amani itakuja Automatically.... Nchi zote zinazoendeshwa kwa mfumo wa haki huwezi kuona changamoto yoyote ya ukosefu wa amani
 
Uwaombe pia

Uwaombe pia wasiwe wanawaapisha pale uwanja wa taifa
Ndio maana hawatendi kulingana na viapo vyao; utadhani hawakuapa!! Serikari haiongozwi kwa viapo bali kwa mujibu wa matukio. Ukileta ngebe wanazikata mara moja. Wamisionari walitundisha tufanye kile ambacho watu wao hawakifanyi. Walitundika kuwaruhurumia na kuwakarimu wageni, lakini wao wanawakimbiza na kuwafukizia mbali wageni na kuwaita wahamiaji haramu.
 
Sema wanasiasa ndiyo wakae mbali na dini. Juzi kati Biteko alikuwa Iringa kwenye kusimikwa Kwa Askofu Mpya wa Jimbo la Katoliki Iringa
Ukiona wamemualika mwanasiasa kwenye shughuli zao ujue kuna KITU (msamaha wa kodi, kutwaa pande la ardhi, kusitisha sera/mkakati) wanamtaka awasaidie. Mara nyingi wanaalika watoa maamuzi serikalini (lobbing).
 
Wapeni watu haki zao na amani itakuja Automatically.... Nchi zote zinazoendeshwa kwa mfumo wa haki huwezi kuona changamoto yoyote ya ukosefu wa amani
Tanzania kwamfano ina watu zaidi ya 61m, nani anasema kanyimwa haki, wako wangapi (%) na wapi ili tujue kama tz haki hakuna. Vurugu mara nyingi zinaletwa na watu wachache (vibaraka) wanaosema hakuna haki. Mfano, pale Libya wakati wa Gaddafi walibya walikuwa wanastarehe sana, ila wakatokea watu wachache (vibaraka) wakasema hakuna haki, hakuna uhuru wa kutoa mawazo, hakuna tume huru hakuna hiki na kile, watu hao kwa kuungwa mkono na nchi maadui wa Libya na Afrika wakamuua Gaddafi.

Vibaraka mara nyingi ni watu wachache waliopewa fedha nyingi na adui ili kuzitumia kushawishi wafuasi wa kuwaunga mkono kwa njia mbalimbali.

Dalili kubwa ya kibaraka ni kuongea na kufanya vitu vya kuwachokoza viongozi, na kulalamika mbele ya camara za vyombo vya magharibi, mabalozi wa nchi za magharibi, na wageni maarufu kutoka nchi za magharibi wanaoitembelea nchi husika wakati wa michezo, utalii, mikutano, nk. Lengo la kufanya hivyo ni 1) kuhalalisha matumizi ya fedha walizopewa na watu wao 2) watu wao kuwaunga mkono kwenye agenda yao hata pale watakapohitaji msaada zaidi wa kulaumu, kuweka vikwazo au kijeshi kama ikibidi.
 
Waombe pia wanasiasa wasijihusishe na dini kwasababu wakiiba kura tutawambia kuiba kura ni dhambi tena ndiyo uhaini haswa

Vile vile wanasiasa wanapo apishwa wasitumie Bibilia ama Msahafu

Nyie mme amua kutengeneza jamii ya hovyo

Jamii ya kanyanga twende jamii ambayo haiwezi kuchakata fikra chanya na hasi jamii ambayo unaweza kuisafisha ubongo ikafikiri unavyotaka wewe

Kunyamaza ama kutulia siyo amani naweza kunyamaza kwakupenda ama kunyamazishwa

Kunyamaza ni kusalimu amri kwa majukumu ya kijamii ama kitaifa

Silence surrenders public responsibilities
 
Wapeni watu haki zao na amani itakuja Automatically.... Nchi zote zinazoendeshwa kwa mfumo wa haki huwezi kuona changamoto yoyote ya ukosefu wa amani
Hawa ni wasshika tonge hata hivyo viongozi wa dini wamesoma kuliko wao

Wanaahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza na kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga wa kuigiza kwa viongozi wao, (unafiki)
 
Wapeni watu haki zao na amani itakuja Automatically.... Nchi zote zinazoendeshwa kwa mfumo wa haki huwezi kuona changamoto yoyote ya ukosefu wa amani
Tanzania kwamfano ina watu zaidi ya 61m, nani anasema kanyimwa haki, wako wangapi (%) na wapi ili tujue kama tz haki hakuna.
Kuna nchi wanatafuta hata hiyo amani ya kunyamazishwa haiwezekani tena. Yaani kama umenyemazishwa lakini wewe, watoto, wajukuu, mifugo, mazao, nyumba yako, gari lako, nyiwa, duka na bar yako vyoote viko salama usalimini shida iko wapi? Huko ni kunyamazishwa kuzuri sana kwasababu unanyamazishwa lakini umeme, maji, hospitali, barabara, chanjo na reli vyote unapatiwa.
 
Yaani nasisi tuendelee kulazimishwa kufikiri mnavyo taka ninyi hata kama uwezo wenu wa kufikiri ni mdogo, mkijizima data tukae kimya tena mkiahirisha kufikiri kizalendo, vile Vile mavi mkiyaita ugali tuseme ndiyooo!

Silence surrenders public responsibilities
 
Hawa ni wasshika tonge hata hivyo viongozi wa dini wamesoma kuliko wao

Wanaahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza na kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga wa kuigiza kwa viongozi wao, (unafiki)
Wamesoma nini? wamesoma wapi? wamesoma kwaajili ya nini na nani? wasomi ndo hawajui kabisa kuongoza. Huku uarabuni sultani hajui english, kifaransa wala kigiriki lakini maisha ni matamu na maendeleo yapo, hakuna tume huru ya uchaguzi huku. Tume pana ya uchaguzi sio wakati wote ni nzuri na muhimu, tume huru inaweza kupitisha kibaraka na jasusi kuwa Rais wenu. Kule Urusi tume huru na demokrasia ilifanikiwa kumpitisha Gorbachev kuwa Rais, matokeo yake Soviet ikasambaratika.
 
Unataka dini wakae mbali wakati walijazana serikalini ni waislamu ? Waliopewa bandari zote Tanzania na mrafi wa bandari bagamoyo ni waarabu. Na hao waarabu hawajawahi kufadhili Tanzania. Wanaofadhili uhifadhi Serengeti ni Marekani na Ujerumani lakini wanyama wanapewa waarabu. Wamasai wamefukuzwa ili maeneo wapewe waarabu. Haya yote yamefanyika huku waarabu hawajawahi kujenga shule,chuo au hospitali Tanzania. Sasa anayeleta dini kwenye siasa ni serikali ya awamu ya sita au wananchi ?
 
I am not closed minded
 
Mwarabu,Mchina na Mhindi sio watu. Hao watu wana ubaguzi wao kwa wao na hawana ubinadamu. Huko uliko hata ukaze vipi hauwezi kuwa treated kama binadamu. Hakuna bilionea ngozi nyeusi katika nchi za hao niliowataja. Na ndiyo maana hakuna nchi ya watu weusi za kiislamu yenye maendeleo. Mwarabu hawezi kujenga chuo, hospitali au shule kwenye nchi za kiafrika. Mnakazaniwa misikiti maswali ili muwanyenyekee.
 
Kama wewe unaona una akili pana hebu nifungulie code ya fumbo hili; Tanzania kuna dini kuu mbili kuu za kigeni; Ukristo na Uislam. Ukristo una madhehemu mengi kama vile RC, Anglicana, Lutheran, Wasabato, Pentecost, nk. Swali, ni kwani kiti cha Urais tangu uhuru ni Mkatoliki, Mkatoliki, Mkatoliki, Mkatoliki, mwislam, mwislam, mwislam na mwislam? Yaani 4x4, na Katikati hapo akaja Dr. Slaa na baadae Tundu Lissu kuutaka Urais.

Je, hii imepangwa au imetokea kwa bahati mbaya tu (chance)?. What a coincidence?

Hiyo akili pana hapo iko wapi?
 
You're not aware of voting process in Tanzania

Kwa tume hii ambayo imejifungia ambayo katu haisikilizi maoni ya wananchi

Je kwa akili zako hiyo ni tume ya wananchi

Silence surrenders public responsibilities
 
Wacha tuwajaribu waarabu pia tuone itakuwaje. Wazungu tuliwaamini sana tangu wakati wa akina Karl Peters na Williamson mpaka leo hii lakini hatusogei. Migodi yote ya dhahabu, almas, mbuga na misitu tuliwapa wazungu lakini hali yetu kila siku ni heri ya jana. Hebu sasa tuwape hawa waarabu tuone nao watatufikisha wapi kwenye bandari. Lakini wewe kwakuwa unapenda wazungu sana unaona kuwapa waarabu ni kukosea.
 
I am not closed minded
Niko tayari kuandamana ili kutunga sheria inayowanyonga hadi kufa watu wote wanaoiba mali za umma kuliko kuandamana kudai tume huru ya uchaguzi. Tume huru ya uchaguzi inaruhusu tu mwizi mwingine kutoka chama kingine kwenda ikulu na kuiba sawa na mwizi wa zamani. Tena huyu mpya anaweza kutuibia zaidi kuliko mtangulizi wake.

Kuna mjinga mmoja anasema, oooh kama hatuwezi kuandika Katiba mpya sasa basi turekebishe tu kile kipengele cha tume ya uchaguzi tu ili iwe huru na pana iweze kupitisha hata walanguzi na waongo na walaghai na vibaraka kwenda mjengoni na Ikulu. Huu ni ujinga uliokithili.

Kenya ndio role model wetu kwenye katiba na tume ya uchaguzi lakini mambo yao ni mabaya zaidi ya kwetu, except kwenye kuruhusu hata wahuni kwenda Ikulu; eti tunalilia na kuvurugana ili tuwe na kitu kama hicho na sisi. Kenya wana nini sasa kwa demokrasia yao hiyo pana? KIla siku wako barabarani!!! Tuache vitu kama hivyo vije vyenyewe taratibu wakati wake ukifika; ni lazima utafika tu hata iweje lakini tusilazimishe. Hebu Ona ndugu yetu Lissu yuko mahabusu wakati peoooooopoooos woooote wako majumbani mwao (mob psychology). Hii ni kuonyesha muda huo bado; wakati ukifika kila mtu atajionea mwenyyewe kwa macho yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…