Seth saint
JF-Expert Member
- Oct 27, 2020
- 1,115
- 2,464
Nilikuwa nafanya utangulizi mkuu ila ukweli kuprove hili jambo beyond religious books inakuwa ngumu which is why I promised to be backYani unasema unaenda Kuprove uwepo wa Mungu halafu unasema
"The truth is, wote ni mashaidi kwamba evil and goodness do exist"
Hahahaha
Ubaya wa approach yako ni kwamba una avoid maswali ya msingi kutoka kwa mpinzaniNimesema hivi, UKITAKA MIMI NIKUTHIBITISHIE UWEPO WA MUNGU, NITATUMIA NENO LA MUNGU... SAHAU KUHUSU DINI NA VINGINEVYO, nathibitisha kwa Biblia Takatifu.
KAMA UNATAKA DINI (KAMA ILE PARA YAKO YA KWANZA PALE JUU) watafute wadini..
Hahahahah, Karibu mpendwa.
Nimeishia para ya juu kabisa, WEWE KAMA UNATAKA MIMI NIKUTHIBITISHIE nipe ruhusa nitumie BIBLIA.. ukitaka kuthibitishiwa kwa njia ya dini WATAFUTE wadini.Ubaya wa approach yako ni kwamba una avoid maswali ya msingi kutoka kwa mpinzani
Inakua haina haja ya kufanya discussion kama huwezi jibu hoja za upande wa pili
Point yangu nilitaka u validate kwanza uhalali wa hio biblia kabla hujaanza kuitumia kama source of truth
Tupo kwenye Math Club, halafu wewe unataka kutafuta upande mmoja wapo wa pembetatu bila kutumia Pythagoras theorem
Unataka kutumia Formula yako,
Unaweza, ila tupe Proof yake kwanza
Muislam pia anaweza tumia Quran kuthibitisha uhalali wa dini yake au Mungu wake, ambae kimsingi ni tofauti kabisa na wako?
utakubali Muislam atumie Quran kwako wewe kama mkristo?
HahahahahahUbaya wa approach yako ni kwamba una avoid maswali ya msingi kutoka kwa mpinzani
Inakua haina haja ya kufanya discussion kama huwezi jibu hoja za upande wa pili
Point yangu nilitaka u validate kwanza uhalali wa hio biblia kabla hujaanza kuitumia kama source of truth
Tupo kwenye Math Club, halafu wewe unataka kutafuta upande mmoja wapo wa pembetatu (right angled) bila kutumia Pythagoras theorem
Unataka kutumia Formula yako,
Unaweza, ila tupe Proof yake kwanza
Muislam pia anaweza tumia Quran kuthibitisha uhalali wa dini yake au Mungu wake, ambae kimsingi ni tofauti kabisa na wako?
utakubali Muislam atumie Quran kwako wewe kama mkristo?
FactYah.... Nadhani kwa mara ya kwanza nilikutana nayo tiktok
Jokes anaweza fanya yoyote tu, kuna Gorge Carlin ni atheistic comedian tafuta clip zake youtube
Tofauti yake na hio meme, ni kwamba jokes zake ni fact
Naweza nika reverse hio meme na kusema
Kama kazi ya Mungu haina makosa anayeumba watoto wenye vichwa vikubwa na midomo ya sungura ni baba yako
Nayo ikawa jokes tu..
Au
Kumshukuru Mungu kwa kukuokoa wewe tu kwenye ajari ya basi iliyoua watu zaidi ya 24,ni sawa na kuwaandikia barua ya shukrani Majambazi waliyo vamia duka la Jirani yako na kulipita lako
Zote hizo ni meme na this time zina joke imani yako
Point ni kwamba meme inaandikwa na mpumbavu yoyote tu
Tuna zibitishaje uwepo wa mungu,ndugu yanguHata mawazo kwamba hakuna Mungu nayo ni ya kibinadamu. Kwa hiyo si lazima yawe sahihi. Tena hayo ndiyo hayana mantiki kabisa, maana yanadhani kukosa ushahidi wa kitu ndio ushahidi kwamba kitu hicho hakipo.
We ni chizi tu halafu unajiona lilokole kumbe chizi tu.Ukitaka kutumia theory (MIMI NAKURUHUSU), Mimi nitatumia Neno La Mungu (Na wewe niruhusu)..
Ukishindwa hiyo..
Tumia blah blah (MIMI NAKURUHUSU) na Mimi nitatumia blah blah (Niruhusu Tafadhali)... Hahahahah.
Ukitaka shiriki kwa faida ya ubongo wako, Usipotaka Susa ubaki na giza lako.
Kwa Yesu kuna amani ipitayo amani zote, Karibu mpendwa...
NB.. wale wa ID tatu tatu (Najua mnajijijuaaa) na nyie njooni.. Mkubwa wa kitengo cha "Usalama wa Imani" kwenye idara ya "Intelejensia ya Rohoni" nipo kamili-gadoooo.
Karibuni wapendwa
Yani we jamaa umeniacha hoi kwakweliMkuu umefafanua vizuri, idea ya god ilikuja ili kuikabili hofu ya duniani ndio maana wafia dini wanaamini kuwa kuna nchi inaitwa mbinguni, huko hakuna kuugua, kufa, njaa n.k yaani huko ni full kula bata tu, huhitaji ajira wala kufanya biashara ili uishi huko vyakula vipo vya kutosha yaani kuna chipsi za kumwaga, nyama choma, piza baga n.k
Ndio maana unawaona wanapambana usiku na mchana kusali ili siku moja waingie kwenye hiyo nchi. Hata telebani nao wanapambana waingie huko lakini najiuliza hao majamaa ukiingia nao mbinguni itakuaje [emoji2][emoji2][emoji2]
Moja ya kati ya silaha kubwa ya ku win discussion yoyote ile ni 'research'NAKURUHUSU utumie hizo principal zako za mabang theory sijui nini nini, na Mimi Niruhusu nitumie Neno la Mungu kupitia Biblia Takatifu.
Ukitaka mambo ya dini watafute wadini.. ukitaka kuthibitishiwa Mungu Yupo nipo tayari kukuthibitishia.
Karibu mpendwa.
Mungu kakuagiza ? [emoji3]Asante
Kwanza nikiri nimeishia para ya kwanza ya maelekezo yako.
Mimi natumia neno la Mungu ambalo limeandikwa kwenye Biblia Takatifu.
Ukiniuliza Mungu Yupo, Maana yake unataka uthibitisho toka kwangu.. Mimi nitakujibu kwa Neno la Mungu ninalolifahamu.
Ukitaka ya wengine kawaulize wengine, Mimi sijihusishi nao/nayo kwamaana Mungu ameniagiza niwe na imani kwake, nimtumaini na Kumtegemea yeye na nisimuhusishe/kushirikisha na miungu yeyote.
Hivyo Basi, Kama uko tayari nikuonyeshe uwepo wa Mungu kupitia Neno lake (Ambalo ndiyo Amini yangu) karibu.. LAKINI ukitaka kwa imani za wengine watafute wao wenyewe kwani sina ujuzi wa KIDINI na Pia sifahamu dini zozote.. ila Imani yangu kwa Mungu ipo, na uwepo wake unathibishwa kwa Matendo yake makuu na Neno lake kwangu kupitia Biblia Takatifu.
Karibuni wapendwa
Sasa wewe utathibitisha uwepo wa Mungu kwa kutumia Biblia na akija mtu kuthibitisha uwepo wa Mungu wake kwa dini ya ( Hindu) utamkubalia hoja zake?Nimesema hivi, UKITAKA MIMI NIKUTHIBITISHIE UWEPO WA MUNGU, NITATUMIA NENO LA MUNGU... SAHAU KUHUSU DINI NA VINGINEVYO, nathibitisha kwa Biblia Takatifu.
KAMA UNATAKA DINI (KAMA ILE PARA YAKO YA KWANZA PALE JUU) watafute wadini..
Hahahahah, Karibu mpendwa.
Kila comment yako na kadri ninavyo interact na wewe nashidwa kujua na dili na mtu wa aina ganiHahahahahah
Mimi siijui lolote kuhusu dini hizo ndio maana nakataa kuthibitisha uwepo wa Mungu kwa kutumia dini... Ila ninao uwezo wa kutumia Neno lake kupitia vinywa vya manabii na mitume mbalimbali KUTHIBITISHA UWEPO WAKE.
Karibu mpendwa
Unaona unavyofeli.. hahahahaKila comment yako na kadri ninavyo interact na wewe nashidwa kujua na dili na mtu wa aina gani
Ni mchungaji wa kanisa fulani mahala fulani au mtoto wa miaka 12 aliye nyuma ya keyboard
Unaposema hujui chochote kuhusu dini (ukristo, uislam, au uyahudi) halafu mda huo huo unataka tukuruhusu utumie biblia, kitabu ambacho origin yake ni kutokea kwenye hizo hizo dini tukuelewe vipi?
Uthibitisho wako upo kwenye muundo upi?, hebu thibitisha unavyohisi wewe ni sawa
Karibu