EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
'Spirituality' ina maana gani kwako?mim sio mdini but i'm sprituality...
sikatai big bang theory lakin nin kilichosababisha itokee,
wanasayansi wana declare energy can not be created no destroyed swali
ni je nan aliye create energy wakati haiwez ku be created?
sayansi na maendeleo yake yote kufkia kwenda sayari za mbali lakini bado imeshindwa kutoa uhai hata
kwa kiumbe kama sisimizi. Wakati inadeclare tumetokea kwa kuzuka hawa scholars wanaojiita ni smart wameshindwa
kutengeza kiumbe chochote cha mfano na kukipa uhai kuprove huko kuzuka kulitokeaje.Kwahiyo kuzuka kumekuwa smart kuliko wanasayansi??
sayansi haiwezi jibu maswali mengi ukiingia in deep.
'Spirituality' ina maana gani kwako?mim sio mdini but i'm sprituality...
sikatai big bang theory lakin nin kilichosababisha itokee,
wanasayansi wana declare energy can not be created no destroyed swali
ni je nan aliye create energy wakati haiwez ku be created?
sayansi na maendeleo yake yote kufkia kwenda sayari za mbali lakini bado imeshindwa kutoa uhai hata
kwa kiumbe kama sisimizi. Wakati inadeclare tumetokea kwa kuzuka hawa scholars wanaojiita ni smart wameshindwa
kutengeza kiumbe chochote cha mfano na kukipa uhai kuprove huko kuzuka kulitokeaje.Kwahiyo kuzuka kumekuwa smart kuliko wanasayansi??
sayansi haiwezi jibu maswali mengi ukiingia in deep.
Kivipi mkuuYani we jamaa umeniacha hoi kwakweli
Ona, ishu ya kwamba Mungu kaumba ulimwengu hayo ni madai, uthibitisho gani ambao unao unaothibitisha?Kama hakuna Mungu binadamu na vitu vyote vilivyomo Duniani Who's creator 😣😣😣
Ebu nipe mchanganuo wa sifa za huyo Mungu wako ambaye unamuamini kua yupo nijue ana sifa zipiUnawaza kwa sauti sana jombaa!
Ni kweli ulichosema there are no gods but God does exist.
Yes, umetoa maelezo mazuri kulingana na mtazamo wako.So,ni muda nami naomba nitumie sehemu kidogo kuprove kwamba God does exist.Mind you! I won't reference in any religious book, instead I will try to draw my conclusion based on simple argument.
Some philosophers do believe on existence of phyiscal world and spiritual world. I will not tell you what they say but try to visit how idealists conceptualize this world .
Sasa ni wakati wangu kuprove kwamba God does exist. The truth is, wote ni mashaidi kwamba evil and goodness do exist. Sasa kama haya yapo ni mwanadamu yupi kaonyeshwa kwamba ndo yupo nyuma ya uwepo wa hivi vitu viwili?
Kuhitimisha sikutaka nifanye reference kwenye religious books najua bado ingekuwa ngumu kwako kuelewa but guess what wanaobelieve on existence of God hawajawahi kuongozwa na reasoning instead wako guided na faith.
Takataka iliyofinyangwa kutoka kwenye udongo na kupewa uhai na ufahamu, takataka iliyojaa uchafu ndani yake, takataka iliyopewa nafasi ya kuishi si zaidi ya miaka 70 ikizidi sana labda miaka 120, takataka hiyo sababu tu imejifunza kusoma na kuandika eti inasimama na kusema, "hakuna MUNGU".Sasa huo uliofanya ndio Upumbavu wa kiwango cha juu
Anayesema Mungu hayupo ni Mpumbavu, una maana ya Mungu yupi?
Kwa muislamu, Mungu wako wewe hayupo, na sio tu Mpumbavu bali ni Kafiri
Kila Mtu aki 'quote' kitabu chake cha dini tutaona vichekesho humu
Naweza nikaandika riwaya ya kufikirika, kisha katika kurasa moja wapo nikasema Asiye amini matukio yote na visa vyote ndani ya hii riwaya ni Fala
Kisha mashabiki kindaki ndaki wa kitabu changu, ambao tu assume waliaminishwa juu ya hii riwaya tangu wakiwa wadogo ( indoctrinated)
Waki quote hio kurasa na kukuita wewe, ambaye huamini juu ya uhalisia wa riwaya yangu, Fala
Je kweli utakua ni Fala au wao ndio mafala?
Hii ni hoja yako ile ile,this time ina run backwards
Ubaya wa believers kama nyie ni kwamba, hata debates zilizojaa mtandaoni kuhusu mada kama hizi hamzifatilii na kuona belivers wengine wana debate vipi
Huwezi tumia hoja za namna hii, ni za kitoto sana
Hizi unatumia kanisani ukiwa na wapendwa wenzako
Kuumbwa ni nini?Kwamba haya yote yaliyomo Duniani na sisi wenyewe tumeumbwa na tupo kwenye Himaya ya Creator ambaye ni Mungu na ana control kila kitu kilichomo ktk huu ulomwengu
Hao genetic modified organism tiali wanakuwepo huwez modify kitu hakipo cloning pia kuna cell ya kufanyia hiyo cloning,'Spirituality' ina maana gani kwako?
Umeishia tu hapo, haitoshi kuky define wewe ni nani?
Una amini katika Mungu wa kidini, au tafsiri yako ya neno Mungu ni ipi
Au unaamini katika roho isiyokufa?
Twambie wewe ni nani tujue tuna deal na mtu wa aina gani
Pia, naona umekua trapped kwenye 'God of the gap fallacy'
Hoja za namna hii,
Kama Mungu hayupo kwanini kuna hiki na kile
Sayansi haina uwezo wa kujibu kila swali kwenye lifetime yako
Sayansi ni progressive,hatua kwa hatua inatupa majibu
Mpaka hivi tunavyofahamu sasa ni zao la miaka mingi, zao la wenye busara waliotutangulia
Zao la wakristo, waislamu na non believers ambao waliacha imani na mitazamo yao walipofika kwenye sayansi
Unapotaka kuthibitisha uhalali wa imani yako kwa ku point gape lililipo kwenye sayansi ni makosa
Sayansi, haiwezi kuelezea 99% ya jinsi gani ubongo unavyofanya kazi
Tunafahamu 1% tu, kutumia hili gape sio wewe tu hata mimi naweza sema kwenye kila ubongo wa binadamu kuna 'vijitu vidogo vidogo' Vinavyotengeneza ufahamu
Wala sina ushahidi wowote wa ninachosema
Unapo uliza energy imetokea wapi, ushawahi tenga mda wako na kujifunza kuhusu Casmir effect
Unafahamu kwamba, notion ya absolutely empty space haipo
vacuum ni bahari ya virtual particles zinazo tokea na kupotea kila sekunde, haijawahi kuwa empty na ndio origin ya ordinary particles zilizopo
Na hio sio theory tu, ni result ya maabara
Na haina ulazima wowote wa ku make sense kwako, kama huwezi tenga mda wa kufanya research
Kukipa kiumbe uhai maana yake nini?
Hebu elezea hata procedure unayotaka ifanyike?
Ushawahi sikia kuhusu GMO au cloning?
Au unataka wanasayansi wa design kiumbe hai out of thin air?
Hata wanasayansi wakishidwa kuumba kiumbe unachotaka kivipi kuna thibitisha imani yako?
Hata kama sijui squre ya 4 kwanini iwe 1?
Pia unaongea kama mtu ambaye hajawahi kusoma biological evolution
Possibly unachanganya biological evolution na historia ya chimpanzee na home sapience uliyosoma kwenye history
Kwenye historia ulionyeshwa just tip of the iceberg
Ukisoma evolution ukiwa open minded utagundua kwanini Charles Darwin anaheshima kubwa kwenye Biology kama Einsten kwenye Physics
Na ina applications kila sehemu mpaka kwenye computer science
Nikikwambia tunaweza kupata software yenye uwezo wa kufanya brain surgery kwa mafanikio bila ya kuitengeneza (kui program) utaamini?
Ushawahi sikia kuhusu Genetic programming?
Kivipi tunaweza pata high quality software kwa ku apply principle ya natural selection tukianza na trivial programs zisizoweza fanya chochote kile useful
Ndio maana kuna msemo unasema 99% wanaopinga evolution ni wale ambao hawajawahi soma kuhusu evolution
Swali la msingi hujajibu hizo hoja za time katika harakati za kumtetea mungu mara nyingi zinapwaya, kama hakuna wakati huwezi kupata tukioWhich before? Your thinking is much based on time which was created by God himself.
Kivip wakati vitu vinatokea tuu , swali kabla ya sisi kuwepo homo erectus nao walikua na ibada zao na mungu ambaye sie huyu tunayemuamini so mungu yupi ameumbaKama hakuna Mungu binadamu na vitu vyote vilivyomo Duniani Who's creator [emoji21][emoji21][emoji21]
Umepiga nyundo kila konaKivipi mkuu
Kwa hiyo kukosa ushahidi wa uwepo wa kitu ndio ushahidi wa uwepo wa kitu?Hata mawazo kwamba hakuna Mungu nayo ni ya kibinadamu. Kwa hiyo si lazima yawe sahihi. Tena hayo ndiyo hayana mantiki kabisa, maana yanadhani kukosa ushahidi wa kitu ndio ushahidi kwamba kitu hicho hakipo.
Kwa hiyo hata hoja yako kuhusu uthibitisho wa kuonesha Mungu yupo ulikua based kwenye imani?Ndio ulichosema ni kweli kwamba nilitakiwa nianze na tafsiri ya neno Mungu.
Tafsiri uliyotoa ni sahihi kulingana na huyo mwanasayansi anavyoeleza lakini tafsiri iliyokuwa bora zaidi naweza sema hivyo inapatikana kwenye vitabu vya kidini kitu ambacho toka mwanzo nlikataa kuvitumia kama reference
Neno Mungu sio kazi ya wanasayansi ndio maana naweza sema hiyo tafsiri yake inaweza isiwe bora. Wanasayansi wamepata hili neno nadhani kwa watu wanaoitwa theologists ambao misingi ya maisha yao na uelewa wa hii dunia wamekuwa wakiongozwa na Imani kitu ambacho kwa wanasayansi na wanafalsafa wanakataa pale wanapokuwa wanatafuta kujua ukweli
Ukweli tunaotafuta hapa ni juu ya kuwepo kwa Mungu. Ukitumia misingi ya kisayansi trust me ukweli utakuwa mgumu kupatikana vivyo hivyo ukifanya reasoning bado utakwama. Kwanini nasema itakuwa ngumu ni kwa sababu utakuwa unajaribu kutafuta ukweli ambao tayari upo
Mwanzo kabisa walioweza kuja na vitu tangible kuprove existence of God were prophets but kwa sasa hawa watu hatuna tena but we have their message
Kuhitimisha ni kuwa naweza nsiweze kuprove hili kwako kwa sasa but trust me after two years I will be back here with something tangible to prove existence of God
Thank You!
Tatizo watu wengi wanatafuta ushahidi wa kumuona MUNGU Physically, huo haupo, Huwezi kumuona MUNGU Ndani ya uumbaji wake, MUNGU Yuko nje ya Uumbaji wake.Hata mawazo kwamba hakuna Mungu nayo ni ya kibinadamu. Kwa hiyo si lazima yawe sahihi. Tena hayo ndiyo hayana mantiki kabisa, maana yanadhani kukosa ushahidi wa kitu ndio ushahidi kwamba kitu hicho hakipo.
Time ni nin? Time ina exist only in our mind iko deep programmed kweny mind tu.Swali la msingi hujajibu hizo hoja za time katika harakati za kumtetea mungu mara nyingi zinapwaya, kama hakuna wakati huwezi kupata tukio
Huyo Homo erectus wewe ulishawahi kumuona au ni conspiracy theory ? Kama unamaanisha Manyani hao waliumbwa na Mungu aliyetuumba sisi ila wao walinyimwa akiliKivip wakati vitu vinatokea tuu , swali kabla ya sisi kuwepo homo erectus nao walikua na ibada zao na mungu ambaye sie huyu tunayemuamini so mungu yupi ameumba
Mambo mema yanapaswa yawe na sifa gani?Hapana mkuu Mungu sio mbaya bali anatambua uwepo wa ubaya
Ubaya umekuwa dedicated kwa devil so mbali na uwepo wa Mungu usisahau kwamba shetani pia yupo
Pointi yangu ilikuwa hii hapa! namna pekee ya kuprove uwepo wa Mungu ni kutenda matendo mema na ndilo jibu jepesi unaweza toa kwa mtu ambaye sio beliver.
Tofauti na hapo ukianza kumsomesha vifungu vya vitabu vya kidini mtakesha make dini haina mpango wa kuaccommodate reasoning na sababu kubwa ni kuwa vile vitabu vinaeleza ukweli kwahiyo no room for reasoning instead we do believe, that is when faith take over.