Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,225
- 83,181
Karibu kigamboni hapa kakaVincenzo Jr kitendo cha kupita kwa uzi na ujajiunga kwa group wewe unapita na kucheka tuu mi sijapenda...
Mkuu pasaka hii fanya mualiko basi πππππππ
Pamoja sana kaka...Karibu kigamboni hapa kaka
Hahahaha eti watu wanatuma elfu 20 ila wewe hauzitaki.KUWENI WASTARABU KUNA WATU WANATUMA 20000 ALAFU WANATAKA WAINGWE VIP GROUP HII KITU HAKUNA WAKUU MTANISAMEHE KWA KWELI
Na bia π―πPamoja sana kaka...
Wewe ni kuchek muvi na kula na watoto wakali wa kifilipino ππππ
Hahahaha eti watu wanatuma elfu 20 ila wewe hauzitaki.
Uzi umekaa kimkakati sana.
Anyways... Ungelipia hela ya kutangaza tangazo lako la biashara pia
Ahahahah jamaa kwenye group la MOVIES kule yaan wanamchukulia kama president maana sijui muvi gani ajaona mpyaNa bia π―π
Em naomba link ya hilo group...Ahahahah jamaa kwenye group la MOVIES kule yaan wanamchukulia kama president maana sijui muvi gani ajaona mpya
Kumbe na wewe unafatilia ma movies mkuu alafu wala sijui...Em naomba link ya hilo group...
Ofcoz am good moviecally π―
π―Kumbe na wewe unafatilia ma movies mkuu alafu wala sijui...
NGOJA NIKITAG
Chifu gudilavu in the making.Kama kijana ambaye hutaki mambo ya kuvuja jasho...
Hutaki kazi ngumu na kazi huna....
Unataka maisha smart ila kazi ngumu hutaki..
Basi hapa panakufaaa takupa mbinu ambazo zitakufanya wewe uwe unapata pesa bila kusumbuka.. sawa blood..
Oky endelea fatilia zaidi kila siku tatoa mbinu tatu ambazo zitafanya wewe kijana upate pesa ukiwa zako umekaa ...
Siku hizi pesa hawatafuti bali wanatega tuu just use brain vizuri kijana....
Kama kuna swali nakaribisha
Wakuu darasa bado linaendelea huku kwa group japo naona kuna ishu naombeni kama unatuma sms ya muhamala basi tuma na namba yako ya wasap ..πππππ
View attachment 3310019
Karibu mkuu kwa group letu...Chifu gudilavu in the making.
Kwa hiyo linakutoa roho la watu kufanyia mambo yao kwenye uzi wako!ππππMnataka mtongozane kwa uzi wangu
Ahahahhaha staki hayo mambo nyumbani kwangu aiseee naweza piga mtu mimiKwa hiyo linakutoa roho la watu kufanyia mambo yao kwenye uzi wako!ππππ
Unalalamika kwa hii soft copy system, je ingelikuwa kwenye mjengo wako unaweza kukaribisha watu wakasocialize kweli?
Karibu mkuu kwa group letu...
Mkuu karibu sana sana sanaHyo Screenshot ya malipo ni feki ,hakuna namba yenye code ya 0725 na pia risiti za tigo zina digits 12 yako ina digits 15.
Sasa mkuu kwenye Due Diligence tu umefeli sasa utanishawishi vipi niingie?Mkuu karibu sana sana sana
Nashukuru kwa kuunga mkono jambo langu...
Mpaka sasa tushajaa kwa group la normal ila VIP bado lipo wazi karibu sana mkuu
Achana na hiyo sms mkuu hvi unajua dalili moja wapo ya kuwa tajiri ni kutofatilia mambo madogo kama hayo..Sasa mkuu kwenye Due Diligence tu umefeli sasa utanishawishi vipi niingie?
Hakuna namba inayoanza na 0725 ,risiti za tigo zina digits 14 na si 15
Acha hivyo tafadhaliSitaki fanya mwenyewe ππ
Huna ndugu ambao wanataka kupata pesa kirahisi na kuwa matajiri? au ushawaunga wote?Achana na hiyo sms mkuu hvi unajua dalili moja wapo ya kuwa tajiri ni kutofatilia mambo madogo kama hayo..
Oooh came on.. jiunge sasa mkuu usiwe mtu wa kufatilia hvo wahi somo linaisha saa saba
Nabii hakubaliki kwao mkuu..Huna ndugu ambao wanataka kupata pesa kirahisi na kuwa matajiri? au ushawaunga wote?