King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Mimi nisharidhika na biashara zangu za kuchoma mkaa ,sitaki utajiri ,hizi hizi buku buku zinanitosha,...wewe na wana group wenzako mkiwa matajiri inatosha.Nabii hakubaliki kwao mkuu..
Alafu mkuu mpaka sasa ujaona ushuhuda huko juu watu wakinisifia kwa nyuzi mbali mbali
Pesa haiwezi kununua utuKama kijana ambaye hutaki mambo ya kuvuja jasho...
Hutaki kazi ngumu na kazi huna....
Unataka maisha smart ila kazi ngumu hutaki..
Basi hapa panakufaaa takupa mbinu ambazo zitakufanya wewe uwe unapata pesa bila kusumbuka.. sawa blood..
Oky endelea fatilia zaidi kila siku tatoa mbinu tatu ambazo zitafanya wewe kijana upate pesa ukiwa zako umekaa ...
Siku hizi pesa hawatafuti bali wanatega tuu just use brain vizuri kijana....
Kama kuna swali nakaribisha
Wakuu darasa bado linaendelea huku kwa group japo naona kuna ishu naombeni kama unatuma sms ya muhamala basi tuma na namba yako ya wasap ..πππππ
View attachment 3310019
Mkuu hakuna mtu asiyetaka utajiri kama hutaki basi jua una matatiz ya akili..Mimi nisharidhika na biashara zangu za kuchoma mkaa ,sitaki utajiri ,hizi hizi buku buku zinanitosha,...wewe na wana group wenzako mkiwa matajiri inatosha.
Duuuh sijakuelewa mkuuPesa haiwezi kununua utu
Exactly π―Hard work does not necessarily pay ukitaka kupata pesa wewe fanya / toa / tekeleza jambo ambalo mtu / watu wenye pesa kwa wakati huo wanaweza wakabadilisha hayo makaratasi yao na hicho kitu (iwe ni bidhaa, service, utapeli au chochote kile) na kama hawawezi kukupa hizo pesa unaweza ukazichukua be it ulaghai au wizi...
SiachiiAcha hivyo tafadhali
Huyu ndege siyo mimiππMnataka mtongozane kwa uzi wangu
Leo pasaka wapi mkuu.?Exactly π―
Mtakula block...Huyu ndege siyo mimiππ
Ujue nikipenda nimeipenda.Siachii
Labda aje ndege mimi sitaki pesa za bila kuvuja jashoMtakula block...
Fanyeni mje kwa group wakuu
Umeokoka?Ujue nikipenda nimeipenda.
Juzi nilikuonesha picha ya YAKUZ na YAVUZ ulionaLabda aje ndege mimi sitaki pesa za bila kuvuja jasho
Sikuiona nionyeshe tenaJuzi nilikuonesha picha ya YAKUZ na YAVUZ uliona
Unampenda bwana aliyeokoka au asiyeokoka?Umeokoka?
Kwahiyo 65k ndiyo YAVUZ ππ
Ukiona unaitwa kwenye fursa basi jua wewe ndiyo fursa.Mkuu hakuna mtu asiyetaka utajiri kama hutaki basi jua una matatiz ya akili..
Hutaki kumiliki gari
Hutaki kumiliki nyumba
It's okay kuna watu washanifata pm wanasema niachane na weww haupo seriously ila mimi staki nikunyime fursa kama mwana jamii mwenzangu
Aliyeokoka najua atatulia na mimi hatakuwa na mambo mengiUnampenda bwana aliyeokoka au asiyeokoka?
Kumbe unahesabu pesa... Hizo kawaida hapo sasa nimekuonesha jinsi zinavo patika sasa 65 kwa siku ni ndogo..Kwahiyo 65k ndiyo YAVUZ ππ
Hata endelea kuwadanganya mie yangu machoKumbe unahesabu pesa... Hizo kawaida hapo sasa nimekuonesha jinsi zinavo patika sasa 65 kwa siku ni ndogo..
Hayo ni mashart tuu ya YAVUZ ambayo rangi yake ni kijani kibichi na mashart