Njia nzuri ya kumwambia mtu anaetoa harufu mbaya (kali) mdomoni na asikasirike

We acha tu nilikosa kazi kisa harufu mbaya ya kinywa na jasho kali usafi muhimu jamani daahhh mimi kama dereva boss akiingia tu kwenye gari harufu hazihelewiki watu wengine hawawezi vumilia vitu kama hivyo nashukuru aliniambia ukweli ....
 
Tajiri huwa haongei sana.

inajulikana masikini wana hasira za haraka mno, nahofia nisije kutumia njia ya kawaida tu kumwambia huyu mtu nikashangaa ananipiga kabali. Na vile masikini walivyo na nguvu anaweza kuniuwa.
Kuna huyo mmoja nilimwambia awe anakunywa chai ya moto asubuhi hakunielewa, mwambie aache matumizi na vitu vya baridi
 
Tajiri huwa haongei sana.

inajulikana masikini wana hasira za haraka mno, nahofia nisije kutumia njia ya kawaida tu kumwambia huyu mtu nikashangaa ananipiga kabali. Na vile masikini walivyo na nguvu anaweza kuniuwa.
We mchane tu. Mwambie Midomo huwa inanuka ila huu wako umewazidi wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…