Njia nzuri ya kumwambia mtu anaetoa harufu mbaya (kali) mdomoni na asikasirike

Kh
Kimebeba mengi huenda unakubaliana na nilicho kisema au wew ni mmoja wa wahusika niliowazungumzia🤣🤣🤣
Khaaaaa wew hivi una nin lakini
Majibu niliyokujibu wew ndio unayatumia kujibu wengine 🤣🤣🤣🤣 so funny
 
We ilikuwaje mpaka ukasogeza mpua wako kwenye domo lake? 😳
Kuna watu sio mpk usogeze pua akifungua kinywa tu eeeh! Inatembea mtaa wote mliokaa nae afu wanapenda kuongea hao sijui huwa hawajijui kama wanatoa harufu kali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…