Njia pekee nyepesi ya kuingia Ulaya kwa wale wanaohitaji kujilipua ni hii...

wasyria na afghanistan wamejanaza Europe yote, wewe unategemea ukashindane na hao kutafuta deiwaka?
Hao ni wala ubwabwa na tende, kuna kazi nzito ambazo wao hawawezi kuzifanya lkn wewe mnyamwezi utazifanya tu.
Waarab wako vizur kwa upande wa biashara tu.
 
Sio nauli,hao itakuwa hawana makaratasi. Yaani wakija bongo hawawezi tena kurudi UK.
Kama inchi haiwezi kukupa makaratasi kwa zaidi ya miaka 30
Ina faida gani kuishi?

Yaani usaliti watu wko pamoja na jamaa zako sababu ya kuishi kikimbizi bila makaratasi?
Moja ya sababu zilizonikimbiza Greece ni makaratasi.
 
Kweli wewe huna unalojua. Watu wapo miaka 40 kwenye nchi mojawapo Ulaya na hawana makaratasi.
Hivi kuishi miaka 40 nje ya watu wako na family yako Kama sio utumwa ni nn?

Msiwe na ulimbukeni na ulaya.

Nishakwenda Italy,Spain, France,Swiss, turkey, Greece.

Na kote huko nimeona nitapoteza muda,
Nipo zng upande mwingine wa shilingi napambana maisha.

Kwa Sasa ulaya migrants ni tatizo kubwa sana,

Ulaya kula so tatizo,,tatizo ni shughuli ya kuweza kupata pesa ya kufanya maajabu Africa.

Ulaya watu hawafati kula wala kuvaa vizuri.
Kama upo ulaya miaka 30 hata baiskeli huku Africa huna

Huko ulaya Kuna faida gn?
 
Hivi England ni Europe?

Unataka kunambiya England cheap labor kwa mwezi anapata pound ngp?
Analipa nyumba kiasi gn?
Anabakiwa na ngp ku save?
 
Umefanya vizuri kumuelewesha. Wengi wanajifanya kuijua ulaya kupitia story za ndugu au jamaa zao waliopo huko, matokeo yake sometimes wanapotoshwa afu na wao wanakuja hapa kupotosha wengine.
Amefanya vizuri kumfundisha samaki kuogelea?

Usidanganywe na watu wanao download taarifa mitandaoni.

Huyo anakueleza mshahara anaolipwa muingereza halisi ambaye sio yeye mkimbizi.

Mwambiye atuwekee ushahidi wa stamp hapa Kama ameshakaa huko England.
Wacha kushobokea wahuni wa daraja manzese hata Nairobi hajakanyaga.
 
Ila wabongo bado tumelala sana, tofauti na hilo unalo sema. Sisi wabongo kuna mambo mengi sana hatufahamu ni wachache sana wenye kujua mambo. Yaani tumelala lala tu, ujue inasikitisha sana.
 
Ila wabongo bado tumelala sana, tofauti na hilo unalo sema. Sisi wabongo kuna mambo mengi sana hatufahamu ni wachache sana wenye kujua mambo. Yaani tumelala lala tu, ujue inasikitisha sana.
Sana mkuu, na ukitaka kujua kama wabongo tumelala na hatujui kitu chochote angalia comments za walio wengi kuhusu ishu hii.

Inasikitisha kuona mtu ana kwambia eti hawezi kwenda ulaya maana bongo fursa kibao, huku anaeongea hivyo akiwa hana kazi, hana kibarua wala biashara ya kufanya.
Kutwa yeye ni kupiga watu mikuki wamsaidie hela ya bando ili aweze kuingia kwenye youtube, twita na kwengineko kusoma habari za kina Dimpoz na baba yake, Diamond na zuchu akishamaliza hapo aingie dark side kuangalia video za porn nk.
 
Haukuwa na makaratasi. Ungepata resident permit surely usingerudi Bongo. Mimi nilishuhudia Paris wacongo wamechanganyikiwa ana miaka 40 France na yupo Illegal. Actually kisaikolojia hawapo sawa. Hawawezi rudi home maana ni aibu. Unakuta watu wa umri wako wapo mbali kimaisha wamepumnzika wanacheza na wajukuu wao.Wewe hata mtoto tu hauna, pesa ya kukulisha tu Africa hauna unaona ubaki tu Parii. Maana huko hata kama hauna hela chakula huwezi kosa.
 
Kama inchi haiwezi kukupa makaratasi kwa zaidi ya miaka 30
Ina faida gani kuishi?

Yaani usaliti watu wko pamoja na jamaa zako sababu ya kuishi kikimbizi bila makaratasi?
Moja ya sababu zilizonikimbiza Greece ni makaratasi.
Bora ulishtuka mapema. Sasa kuna.wenzako wanavumilia akiamini siku moja atapata karatasi,muda unakwenda na karatasi hapati.
 
Makaratasi ni ngumu sana hadi upoteze muda sn ulaya.
Wakati wenzio wanafanya Mambo ya maana Africa.
 
Nauli mpaka Burundi inafika ngap? Nataka niende na Nchemba
 
uzi bora sana.
Kweli mkuu, huu uzi ni bora kwa wabongo wachache wanaojitambua ambao ni sawa na 10% tu.
90% iliyobaki ni wale wanaopenda habari za kina zuchu, hadija kopa, mwijaku, na pia ni mahodari wa kuangalia video za porn na kukimbilia chooni kushusha cha mkwezi kupitia mikono yao wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…