Njia rahisi inayoweza kumsaidia mwanamke aliyepo kwenye uchumba sugu, kupata ndoa

Hapana me najua kusema na shida zangu afu niko loyal balaaa
Tatizo litaanzia pale utakapohitaji milioni, wakati huo mr aliyonayo ni laki moja; hapo lazima agongewe tu😂😂😂
 
Ndoa ambayo mwanamke analazimisha either kwa kubeba mimba makusudi au kuitumia pesa vibaya, itamtesa sana mtoto wa kike. Ata kama ana uchumba sugu asiitumie nafasi iyo kufanya kitu kama icho, ukiona umekaa na mtu 6 to 7 yrs na Hana dalili ya kukwambia nahitaji kwenda kwenu, we jisogeze tu pembeni usipoteze muda wako au lah endelea kumvumilia mpk mwsho, maana unajua Nini unachokitaka.
 
Kwa hiyo mkuu unaona Ni haki Mimi nimpeleke chobingo shemeji yako nianze kumpigia magoti nalia anioe!like serious????si unaweza nitwanga Kofi la ujinga ukinibamba huko?🙆😆
Shauri yako wewe chelewa chelewa utamkuta mwana si wako.
 
Labdo uko miaka 40 waoaji hamna, utafanyaje?

Subiri wakati wa Mungu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ila pengine pia inabidi ujichnguze maybe kuna namna una act kama mwanamke ila sio mke[emoji38]

Kupata mume lazima uwe pia na charactr za kimke, labda utake tu kuolewa kutoa nuksi na sio lifetime commitment
 
Siyo kirahis hivyo [emoji23][emoji23]
 
Una point, ningekuwa singo ningekuchukua
 
Unaweza kuact kama mke mbele ya mvulana unazania nn kitatokea hapo?
 
Hehehehe....uvumilie nini sasa hapo?[emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…