Njombe: Serikali yakasirishwa na Kitendo cha CHADEMA kuzindua Mradi wa Maji, figisufigisu zaanza

Aiseeeee !!!

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Duh! Ila Ccm ifike muda baadhi ya mambo waone aibu kuyafanya. Kuzindua mradi imekuwa nongwa?

Jambo jema limefanywa na mpinzani na lina tija kwa wananchi shukuru, mbona Mbowe tunamlaum kumfagilia Samia Ccm hawalalamiki?

Safari ya ustaarabu kwa Ccm bado ni ndefu sana ukiwa.
Au mtendaji kuna fungu kakosa kwenye huo mradi?
 
CCM haina tofauti na bokoharam
 
Wananchi waweke Ulinzi wao hapo....Kwa akilli za CCM na kama wameanza hivi hicho kisima kinakwenda kuhujumiwa muda si mrefu,kimiundo mbinu au kutiliwa sumu tena Pollonium kabisa wababuke wote,kama MWAKYEMBE,enzi zile,wapate sababu ya kukifunga na kuwakamata Viongozi wa CHADEMA..CCM siasa za Ushindani hawazimudu.
 
Lengo ni maji yatoke. OVer
 
Umeweka angalizo muhimu sana

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Katika laana kubwa ambayo watanzania tunayo ni kuichagua na kuikumbatia CCM
 
"CCM kuna MAFISI"-J.Kikwete.
 
Viongozi wasio na akili ndio wana fikra hizi mara zote CCM inatugawa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…