Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #21
Aiseeeee !!!CCM ni wendawazimu....nimekumbuka Jimbo la Ilemela Mbunge wa CHADEMA aliwahi kununua Ambulance serikali wakaikataa,...akapambana sana..Nakumbuka PM Pinda enzi hizo akaingilia kati. Ikapokelewa,...CCM hao wakafanya namna dereva wa halmashauri wakamseti gari ikapata ajali mbaya sana ikawa nyang'anyang'a....kutahamaki gari haikuwa na bima...ikatoka barabarani..Hawakuishia hapo...Mbunge aliyeinunua na kuwakabidhi halmashauri CCM wakamcharanga Mapanga hatari .Ni ngumu mno kufahamu CCM wanasimamia nini ,hasa linapofika suala la huduma kwa wananchi.
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app