Ni wazo zuri la kuwa na thread ya Bank.Mimi sina lalamiko lolote juu ya mfanyikazi yeyote, ila naomba mambo yafuatayo:-1.Mtu aruhusiwe kwa siku kwenye ATM kuchukua kiwango chochote,si hela yake?!Sh 1,000,000 ni kiwango kidogo sana kwa kweli!Kama kuna technical problems tunaomba tuambiwe 2.Mara nyingi hela zinaisha kwenye ATMs,na hii inaudhi sana.Naomba mlishuhulikie swala hili.Mimi binafsi swala hili limeshawahi kuni-inconvinience sana.3.Ukihitaji replacement ya card ya mteja inachukua muda mrefu mno,and this is very inconvinient.Angalieni uwezekano wa kupunguza muda to a bare minimum.4.Mwisho, sometimes tellers wanakuwa wachache mno.Hii inawafanya wateja wakae bank more than is neccessary.Hakikisheni mna monitor idadi ya wateja ili muweze kuongeza tellers accordingly.Kazi njema.