NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

Mi naomba mnisaidie kuhusu hili swala mnalokopesha watumishi wa umma kupitia simu,bila mtumishi kujaza fomu iende kwa mwajili wake kupitishwa na kuona kama 1/3 yake inamruhusu kukopa?

Je ule ukomo wa kukopa mtumishi unazingatiwa? Na kama unazingatiwa ni afisa gani wa serikali anaye approve hii mikopo ya kupitia kwenye simu?
 
Mimi
Mimi naomba kujua kuhusu hili swala LA kukopesha watumishi wa umma kupitia simu zao za mkononi ,je ule utaratibu na kujaza fomu ya mkopo na kupitishwa kwa mwajili wake ili Ku approve kama anastahili kukopa au amefikia ukomo wa kukopa kwa mshahara wake umefutwa?

Kama utaratibu wa 1/3 ya msharaha unatumika bado in afisa gani wa serikali anaye approve hii mikopo ya kwenye simu ?

Na mikopo hii INA masharti gani ?
 
Wakati we Saba Saba nilisikia kupitia vyombo vya habari vikieleza kulegezwa kwa mashariti ya mikopo ya bank ( NMB) Mbona mambo yako tofauti huku ,mikopo imekuwa na masharti magumu kama vile hamtaitoa kwa waliotajwa wakati wa maonyesho Je lipi ni sahihi MIKOPO KUTOLEWA KWA MASHARTI NAFUU AU KINYUME CHAKE
 
Asanteni nmb kwa huduma zenu nzuri,, NMB the best bank.
 
Tafadhali nina hoja.
Pale unapotoa fedha kupitia ATM, unapokea Sms inayokuambia "kama huutambui muamala huu piga simu namba........."
Swali langu ni kuwa, endapo utakuwa huutambui muamala husika, ukipiga simu itasaidia nini wakati fedha ishachukuliwa kwenye account? Au mnatoa msaada gani hapo?
 
Watakuja kukujibu baada ya miezi miwili
 
kama huutambui muamala huo watakuhoji kuhusu kadi yako kama imepotea au iko mazingira gani ,kama kuna dalili za wizi kwenye kadi yako wataifungia ili isiweze kuendelea kutumika zaidi , kisha utashauriwa utoe taarifa polisi ili Bank itoe taarifa zote kuhusu muamala huo kwa polisi kama Picha za mtu aliyetoa pesa, mahala na vitu vingine ili aweze kukamatwa

Kama Bank ndio inahusika katika uzembe na kuruhusu pesa kutolewa utalipwa na kama ni uzembe wa mteja mwenyewe anaandika maumivu tu
 
ATM ya UDOM COED wiki nzima imeharibika lakini haitengenezwi ..kwa nini hii??
 
Nilijiunga Nmb mobile kwenye line ambayo kwa sasa imeshapotea nafanyaje ili niweze kubadirisha. Japo kwa sasa natumiwa notification za miamala yangu kwenye line ninayotumia.
 
Swali zuri sana
 
Kwani unapoenda kutoa hela ATM makato yanakuwa sawa na aliyeenda kwa wakala maana sikuwahi kwenda kwawwakala[emoji847]
 
Mkuu utakuwa unakopesha hela za moto wewe
 
Nilijiunga Nmb mobile kwenye line ambayo kwa sasa imeshapotea nafanyaje ili niweze kubadirisha. Japo kwa sasa natumiwa notification za miamala yangu kwenye line ninayotumia.
Nimepoteza kad ya ATM Nifanye nini ili nipate mpya
Mimi nataka mkopo, Dhaman yangu ni nyumba naupataje?

Karibuni sana katika tawi letu la karibu yako na tutawasaidia kutatua changamoto zinazowakabili. #NMBKaribuYako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…