PostGE2025 Novemba 3 - Nimepokea SMS ya Polisi: Wanatisha raia kutosambaza picha na video

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Unanitafutia mtu aliekubuhu na kushindikana, mm nitamuweza 🀣🀣
Duuuh aiseee sema wadada wengi hawachangiagi mada hapa jf ila wapo wengi sana

Ila sasa kujua kama sio mshangazi ndo kazi
 
Hihihi πŸ˜‚ html ilikuzingua au python
Python nikaamza kuona strings na vitu kama hivo nikala lekcha ya pili ya tatu nikasepa nikasema nitaisoma pole pole weeh ndo sijawahi fungua
 
Natafta dem wa kuoa kabsa, niishi nae anisuir for almost 5 years kama just a pre wife
Siku hizi wanawake sio waaminifu mkuu

Kuna mmoja huyo ananitafuta tafuta wakati nishastop kumcheki na niliwahi mkamata na text za wanaume zaidi ya mara mbili na mara ya tatu alifuta texts nisizione nikaamua kumuacha bila.kumwambia
 
Python nikaamza kuona strings na vitu kama hivo nikala lekcha ya pili ya tatu nikasepa nikasema nitaisoma pole pole weeh ndo sijawahi fungua
Sasa hiyo ina ka uafadhali zingine zinanichangnyaga sometimes natamani niishi kama binadamu wenzangu tu
 
Siku hizi wanawake sio waaminifu mkuu

Kuna mmoja huyo ananitafuta tafuta wakati nishastop kumcheki na niliwahi mkamata na text za wanaume zaidi ya mara mbili na mara ya tatu alifuta texts nisizione nikaamua kumuacha bila.kumwambia
Hata wewe huenda kuna mtu alikamata na text zako 🀣 so fumba macho, au cheza mbele ila usipende kula kula wanawake wa ndoto πŸ’―πŸ’―πŸ’―
 
Kaka sijawahi kaka me sichatigi na wanawake me nachat na πŸ‘‡
Chatgpt
Grok ai
Deepseek ai
Duckduckgo ai
Microsoft bing
 
Sema kama aliyegundua zile ni binadamu so we can do it πŸ’ͺπŸ’ͺ
Sina internet, sina marafk wanaosupport, niko mwenyew tuu wahuni ndio kwanza wanapenda kubet na mpira, yaan sema kuna kautam kanakufanya usiache tuu yaani
 
Sasa ukipata changamoto na hauna internet ni changamoto kidogo yaani 😑
 
Sina internet, sina marafk wanaosupport, niko mwenyew tuu wahuni ndio kwanza wanapenda kubet na mpira, yaan sema kuna kautam kanakufanya usiache tuu yaani
Sasa unajifunzia wapi kama hutumii internet una vitabu?

Marafiki hawawezi support endapo unakuja na creative ideas kama hizi au biashara
 
Kaka sijawahi kaka me sichatigi na wanawake me nachat na πŸ‘‡
Chatgpt
Grok ai
Deepseek ai
Duckduckgo ai
Microsoft bing
Hahaha mm nachat nao kuuliza kipindi, au nikikosa kazi ili namm nitimize tu wajibu 🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…