Aaah, sasa hao wenye miwani myeusi watanilizimisha nimpende nisiyempenda?

Kumbuka alipata kura takribani 8m na ushee na zilizomktaa ni zaidi ya 7m na ushee za UKAWA + za wale wengine kama ACT, CHAUMA na wengine.....

Ktk mazingira haya, kufikiri kuwa watu wote watakupigia makofi na kukuimbia mapambio tu kila wakati na kila mahali ni uwendawazimu.....
 
Na bado hela zitapotea hata kanisani

Duu balaa.Kanisani ni mahali ambapo watu waliokata tamaa na maisha au ya kuishi hutegemea kupata faraja na tumaini la kusonga mbele.Lakini mtu pasipo aibu unaibuka na kuzoza upupu eti fedha zitakauka kanisanu tukueleweje?zipo timamu kichwani?je akina pangu pakavu tia mchuzi(makabwela) wangejinyonga je?wakijua hadi mkuu ametamka si utani.Fedha zitakauka wakati hawana hata punje?mi ni mwl.wa masomo ya sanaa ingawa Ndalichako anapiga chenga kuniajiru.Nashauri aje kwangu nimpatie mafunzo adhimu ya namna ya uchaguzi wa maneno,na namna ya kujieleza mbele ta hadhara.Sayansi ya lugha ipo kichwani asibeze.Niishie hapo nahofu kuitwa mchochezi wale ndugu wasije nibinya kokwa/kende zangu kwa kutumia koleo...
 
Zungumzia na ndege, barabara, baraza dogo, nk nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…