Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
siasa ni kama kamari hasa adui yako akiwa mropokaji, unajificha sehemu unambip tu unasubiri aropoke na wewe unaenda kuitumia ile kauli kumsambaratisha na kumuachanisha na wananchi. kama askofu wa mwanza ambayo wanamuabudu mtu fulani hivi, amesema kanisani kuw akiongozi anayesema hakuna njaa anatakiwa kuombewa, na ni askofu wa katoliki, nini kimebaki hapo sasa?Kweli siasa ni kama kamali. Ukishindwa leo unajipanga upya kucheza kesho kwa matumaini kwamba utashinda. Na mr Lowasa nae ndiyo mategemeo yake kuwa ipo siku atashinda uraisi.
Ajipe moyo. Lakini kwa hiyo kauli ya kwamba alishinda akapokonywa ushindi hapo anakosea sana. Kwani anapaswa kujua kwamba hata yeye anaweza kushindwa na siyo kwamba ni lazima yeye ashinde.
siasa ni kama kamari hasa adui yako akiwa mropokaji, unajificha sehemu unambip tu unasubiri aropoke na wewe unaenda kuitumia ile kauli kumsambaratisha na kumuachanisha na wananchi. kama askofu wa mwanza ambayo wanamuabudu mtu fulani hivi, amesema kanisani kuw akiongozi anayesema hakuna njaa anatakiwa kuombewa, na ni askofu wa katoliki, nini kimebaki hapo sasa?
Pamoja na kauli za Rais Magufuli lakini hakuna kiongozi anaweza kulinganishwa na Rais Magufuli kwa dhamira yake ya vita dhidi rushwa.
Mzee Lowassa apumzike Tanzania inataka kiongozi aina ya Rais Magufuli. Mwacheni Mheshimiwa Rais Magufuli atusafishie nchi.