Nukuu toka kwa Rais Magufuli (QUOTES)
udom ina uwezo wa kubeba wanafunzi 40000+ na udsm 24000+ na bado tcu wanadahili wanafunzi 30000+ sasa hiv vi chuo vingine si bora vifutwe naomba wazir na tcu waliangalie hili sijuh mnaviita st nin.... na venyew vinataka wanafunzi wapate hela
Jamaa alkua katili Sana[emoji20]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jemedari, Mpambanaji wa Rushwa na Ubadhirifu wa mali za umma.
tunategemea Rais wetu wa sasa Mama Samia atakemea na kuchukua hatua haraka kwa mafisadi na wala rushwa bila muhali.
 
Like neno kuhusu wadaiwa sugu wa bill za umeme na maji kua (KATA )
 
inamaana ulivyokuwa ukisema mara kwa mara tukuombee kumbe ndiyo ulikuwa unatuaga,hakika sitakusahau raisi wetu mpendwa,pumzika kwa amani,umetangulia nasi tutafuata
 
1............"au nasema uongo ndugu zangu?"
2........"msema ukweli mpenzi wa Mungu!!!"
 
Uzi huu naomba uwe maarumu kwa kuweka kumbukumbu ya Maneno mazuri ya Aliyewahi kuwa Raisi wa Tanzania 2016-2021.

Nukuu ziwe za staha, hii itakua njia nzuri ya kumuenzi Mwendazake
 
Sio razima nukuu/semi/maneno hayo yataje mahali au tukio! Sio muhimu
 
Mkichagua mpinzani maendeleo msahau.
Haya yakitajwa kila sehemu.

Serikali haijaleta tetemeko-Kagera
 
Uzi huu naomba uwe maarumu kwa kuweka kumbukumbu ya Maneno mazuri ya Aliyewahi kuwa Raisi wa Tanzania 2016-2021.

Nukuu ziwe za staha, hii itakua njia nzuri ya kumuenzi Mwendazake
'ukiharibu na wewe unaharibikia hapohapo'...
 
Tetemeko halikuletwa na serikali
 
Back
Top Bottom