DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Jamaa alkua katili Sana[emoji20]udom ina uwezo wa kubeba wanafunzi 40000+ na udsm 24000+ na bado tcu wanadahili wanafunzi 30000+ sasa hiv vi chuo vingine si bora vifutwe naomba wazir na tcu waliangalie hili sijuh mnaviita st nin.... na venyew vinataka wanafunzi wapate hela
Sent using Jamii Forums mobile app