Rais Bora ni Nyrerere.
1. Kaunganisha wananchi hakuna ukabila.
2. Kapeleka makao makuug Dodoma.
3. Kajenga viwanda.
4. Mfumo wa vyama vingi kautetea yeye.
5. Muungano
6. Kasaidia nchi za kusini mwa Africa kupata Uhuru.
Nk
Acha kumlinganisha Nyerere na vitu vya ajabu. Magufuli amefanya kipi Cha maana?. Rais wa 1961 unataka umlinganishe na Rais wa 2015? Wewe unaona ni sahihi.
Mambo aliyoyafanya Nyerere, Magufuli hawezi kufikia hata 5%.Rais Bora ni Nyrerere.
1. Kaunganisha wananchi hakuna ukabila.
2. Kapeleka makao makuug Dodoma.
3. Kajenga viwanda.
4. Mfumo wa vyama vingi kautetea yeye.
5. Muungano
6. Kasaidia nchi za kusini mwa Africa kupata Uhuru.
Nk
Usikute ndio sababu akaliwa na kutu....Mtu anajiita chuma?
Nyerere Mkapa Kikwete MagufuliKwa vyovyote vile hakuna duniani mtu mwenye uwezo wa kurekebisha Historia. Kwa ivo hawa ndiyo walikuwa marais wetu na Samia ndiye Rais wa Tanzania kwa sasa.
Kwa mtazamo wako hawa ukiwaweka kwenye mizani yupi amekuwa Rais bora kwako na kwa nini ukiangalia changamoto alizokabiliana nazo na jinsi alivyozitatua na unadhani kwamba amecha alama (Legacy) gani kwa watanzania wote.
Kwa vyovyote vile hakuna duniani mtu mwenye uwezo wa kurekebisha Historia. Kwa ivo hawa ndiyo walikuwa marais wetu na Samia ndiye Rais wa Tanzania kwa sasa.
Kwa mtazamo wako hawa ukiwaweka kwenye mizani yupi amekuwa Rais bora kwako na kwa nini ukiangalia changamoto alizokabiliana nazo na jinsi alivyozitatua na unadhani kwamba amecha alama (Legacy) gani kwa watanzania wote.
JPMKwa vyovyote vile hakuna duniani mtu mwenye uwezo wa kurekebisha Historia. Kwa ivo hawa ndiyo walikuwa marais wetu na Samia ndiye Rais wa Tanzania kwa sasa.
Kwa mtazamo wako hawa ukiwaweka kwenye mizani yupi amekuwa Rais bora kwako na kwa nini ukiangalia changamoto alizokabiliana nazo na jinsi alivyozitatua na unadhani kwamba amecha alama (Legacy) gani kwa watanzania wote.
Ukijua ili iweje? Unafanya utafiti, objectives wa utafiti wako ni nini? Kama umevimbiwa au umechoka jipe muda kapumzike.Kwa vyovyote vile hakuna duniani mtu mwenye uwezo wa kurekebisha Historia. Kwa ivo hawa ndiyo walikuwa marais wetu na Samia ndiye Rais wa Tanzania kwa sasa.
Kwa mtazamo wako hawa ukiwaweka kwenye mizani yupi amekuwa Rais bora kwako na kwa nini ukiangalia changamoto alizokabiliana nazo na jinsi alivyozitatua na unadhani kwamba amecha alama (Legacy) gani kwa watanzania wote.
Nenda kaharishe huo uvundo upungue mwilini.Mzila nkende, Jiwe, chuma, burudoza, Yaani, Hakuna kama Magufuli, akifuatiwa na Nyerere mzee wa hotuba nzuri
Huu mjadala ni wa watu wazima? wa watoto? wa mazuzu au? mbona sielewi, hapa ni JF kweli? Bila shaka tumevamiwa!hakuna Rais atakaekuja au waliostaafu au aliyopo atakaemzidi JOHN POMBE MAKUFULI huyu alikuwa ni rais bora kuliko marais woote tanzania na africa. nyerere hana sifa kubwa ila ana bahati ya kusifiwa. mpaka leo watu wanahamu kama mungu angeweza kumfufua tena aje awe rais lakini ndio haiwezekani
Kuhusu maono hapana. Ushahidi: mpaka leo kuna baadhi ya kauli zake zinaishi, zitaishi.Mkapa alitengeneza mfumo ambao unaendesha nchi mpaka sasa. Taasisi nyingi za serikali zilianza kipindi chake. Huo ni msingi wa utawala bora.
Mwalimu atakumbukwa kwa kuweka umoja na mshikamano wa kitaifa lakini alikuwa na mapungufu mengi sana kiuongozi na maono.
JF inatakiwa iwe hivi kwa Watu wenye hekima kama wewe, sasa nashangaa kuna Mawatu yanaongozwa na hisia hadi kuandika takataka humu JF kuhusu Marais wetu wa nchi na bado moderators wanawachekea tu.Mama samia ni raisi anayejitahidi sana kwa maana kwanza ni mwanamke , pili ni mama tatu ni bibi halafu bado ni raisi so anajitahidi sana sio kila mama anaweza hili hongera sana Rais wetu popote ulip juu mimi nakukubali.
Raisi waliokuwepo wakawa wamekufa wote Mungu azilaze roho zao mahali pema peponi .
Wote walijitahidi kadri ya uwezo wao.
Nyerere kaleta uhuru
Mkapa alifanya mengi kutukasamehewa madeni akatengeneza uwanja za mipira zikawa zakisasa na mengine mengi
Magufuli alitengeneza miundombinu akanunua ndege akatengeneza hospitali na akanunua meli za kisasa akatengeneza barabara za reli , za kawaida na kufufua reli za zamani kazifanya mpya na akanunua zingine na akawapandishia watumishi waserikali mishahara akahakikisha sekta zote watumishi wanafanya kazi kwa raha kingine alitengeneza chato ikawa kama uzunguni.
Akatengeneza shule , maji , na mambo mengi mengine mazuri .
Viva Magufuli .
Japo alibana pesa sana .
Kikwete nilimpenda aliachia hela zote mpaka akiba yote ikakata huyo ndio niliwahi kumpenda kwa anavyoongea na mwinyi na kwasasa mtotowake. Anaongoza visiwani .
Ila kwakweli maraisi wetu wote na wapenda sana ,,congrats all and especialy mama samia i love u mama samia for our peace of our country beutiful madam .[emoji38][emoji3059][emoji7][emoji8]
Popote ulipo kongole kwako umeupiga mwingi
Wivu ukiona hivyoo ujue ukoo wao hawajawahi kupata viongozi so wivu chuki zimetawala usijali humu utawazoea tu halafu ni watu wazima hatari so wameshajichokea tu ukiandika kitu wao wanaponda tu ili uchukie wazoee hawa post utakachoJF inatakiwa iwe hivi kwa Watu wenye hekima kama wewe, sasa nashangaa kuna Mawatu yanaongozwa na hisia hadi kuandika takataka humu JF kuhusu Marais wetu wa nchi na bado moderators wanawachekea tu.