Nyerere: Wakati tunapigania uhuru wa nchi hii kanisa katoliki lilinitenga

Ukiona watoto wanajamba ushuzi unaonuka saaaaanaaaa ujue wamekinai kula Maharage,
mshua badilisha diet aiseee!
😁😁
 
Uvccm unazidi kumdhalilisha mwenyekiti wako.
 
Uvccm unazidi kumdhalilisha mwenyekiti wako.

Mambo mazito haya tunazungumza

Hivi unajua fika kuwa kikwazo kikubwa cha tanganyika kupata tanganyika yake hadi sasa ni kanisa katoliki.?

Na hiyo ni kwa sababu wanajua the only place wanaweza wakachunga maslahi ya kanisa kule zanzibar ni kupitia muungano...they fear kuwa zanzibar ikiwa free basi kanisa litakuwa mashakani visiwani

Unalijua hilo???
 
Kanisa ndiyo imeharibu nchi hii

Mzee lengo lake lilikua very positive hadi pale alipoingia kwenye mtego.wa mfumo kristo ambao unalimaliza taifa hili hadi leo
wanawatuma kuandika ujinga wakizan wanatatua matatizo kumbe ndo wanakuza matatizo
 
hayo ndo yanabariki utekaj na mauaji ya watu wema ?
 
wanawatuma kuandika ujinga wakizan wanatatua matatizo kumbe ndo wanakuza matatizo

Tunatumwa??

Sisi tuna zaidi ya miaka.10 hapa JF tunapambana na uchochezi wa kanisa...

Au wewe ni mgeni humu??
 
Low profile
Narudia tena , hata misikiti iliwai kutumika kuhifadhia watafuta watumwa

Naamin unalipwa kufanya huu uzuzu ila unachosahau unazid kujenga chuki badala ya kutibu kidonda

Hizi mbinu zenu zitazalisha uas

Bora mkae kimya watu wawe njia panda kuhisi labda mnasingiziwa ila mnavyotumana kuandika ujinga ndo mnayakoroga kabisa , hata mweny mashaka anaanza kuona kuna ttzo kweny vichwa vyenu
 
Bigi bwana, huoni kuwa nao wazee wa kiislam walikuwa wanataka kumng'oa mkristo? Ambaye ni mkoloni. Hivi kama sio Kaselabantu, hao wazee wangemjua tena Nyerere ambaye alishaamua kushika lake? Hata kama asingeacbishwa anveacha kutokan na mvingano wa maslahi. Huwezi kumpinga mkoloni na wakati huo unafanya kazi kwake.

Palikuwa na hoja ya msingi sana hapo ambayo mnataka kuipindisha
 
hayo ndo yanabariki utekaj na mauaji ya watu wema ?

Mzee mshume kiyate ulikua unamjua kuwa ndie alimpa nyumba nyerere na kumlipa mshahara wake kila mwezi baada ya kanisa kumfukuza pugu.?

Unajuwa kuwa Mzee Dosa Azizi ndie alimpa gari nyerere atumie kwenye harakati za tanu za kudai uhuru..??

Unamjua bibi titi mohamed wewe
 

Wazee wa kiislam walishirikiana na Joseph kaselabantu,Vedastus Kyaruzi na John Rupia bila kuangalia ukristo wao pamoja na nyerere kwa kuwa walifaham vijana hao lengo lao ni uzalendo hata kama ni vijana wa kanisa ambao kanisa linawapiga vita

Na hao wazee hawakuwa na nia ya kuweka dola ya kiislam

Tunashangaa kanisa leo linataka kuwa jogoo kwenye nchi hii walikiwa wapi enz za ukoloni??
 
Wanasema ukweli si kuiamrisha serikali. Lini umeshaona TEC imewashikia fimbo au bunduki Viongozi wa serikali.

Ukweli gani wamasema wale.wavaa magauni??

Wanasema eti yale yalikuwa maandamano...maandamano.gani ya kuharibu mali za watu na za umma??

Maandamano gani ya kuiba mali za watu.?
 
hayo yanahararisha haya ?
utekaj
ufiraj raia( ukafir huu )
usingiziaj kesi raia
mauaji ya kiholela
kujenga taharuk zisizo na msing kwa kufyatua risas mitaan
kuvinyima uhuru vyombo vya habari kufungia mitandao

hiyo story yako inatufundisha tupendane bila kujali dini , rangi , jinsia wala jiografia ila leo hii mnafurahia mateso ya watanganyika yanayisababishwa na mzenj mwenzen

Ila amin haya ni mafunzo kwa wabara kuwa kijiti kikirud nin tunapaswa kuwafany wazenj
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…