Nyerere: Wakati tunapigania uhuru wa nchi hii kanisa katoliki lilinitenga

unalipwa kiasi gani kwa kila uzi ?
 

TEC na kanisa katoliki kutetea fujo na vurugu zile kwa kusema ni maandamano ya amani ni kuchochea vurugu na kubariki uvunjifu wa amani

Kwa hilo tutakabiliana nao
 
Ukweli gani wamasema wale.wavaa magauni??

Wanasema eti yale yalikuwa maandamano...maandamano.gani ya kuharibu mali za watu na za umma??

Maandamano gani ya kuiba mali za watu.?
Yale yalikuwa Maandamano ya kumshinikiza yule mtu wenu mwenye tani nyingi kifuani mwake atuachie Tanganyika yetu.

Halafu maaskofu wa TEC wanatoa hoja kuntu ninyi mnazijibu kwa mipasho.
 
Yale yalikuwa Maandamano ya kumshinikiza yule mtu wenu mwenye tani nyingi kifuani mwake atuachie Tanganyika yetu.

Halafu maaskofu wa TEC wanatoa hoja kuntu ninyi mnazijibu kwa mipasho.

Maaskofu ndiyo nani nchi hii??

Wameshaambiwa wao waendelee ka kazi zao za dini.

Serikali.imegoma kupokea amri,ushauri wala vitisho.kutoka kwao

Na hawawezi kufanya fyoko.fyoko kwa serikali
 
Ndiyo maana tunakushauri uwe unatumia akili hata kama unayo kidogo.

Unabisha mambo usiyoyajua. Familia ya Nyerere ilikaa kwa Mshume, wakati alipoenda kuanza kazi Pugu sekondari, siyo wakati wa harakati za kupigania uhuru. Wakati wa kupigania uhuru, na mwalimu kuamua kuacha uwalimu, familia yake ilienda kuishi Tosamaganga.

Unapenda sana kupindisha ukweli, na kutumbukiza maneno yako ya uwongo kwa sababu ya uozo wa udini uliopo moyoni mwako. Ufahamu kuwa Mwalimu Nyerere hakuwahi kufukuzwa uwalimu Pugu, bali aliambiwa achague kama anataka kuendelea na uwalimu, aachane na siasa, autumie muda wote kufundisha, au la kama anaona hawezi kuacha masula ya siasa, aamue kuacha kazi ya uwalimu, Mwalimu Nyerere akaamua kuandika barua ya kuacha kazi. Hakufukuzwa bali aliamua kuacha kazi.
Ufahamu pia hiyo inayoitwa Pugu Secondary, wakati huo ikiitwa Saint Francis ilikuwa ikimilikiwa na wamusionari wa Capuchin toka Ujerumani, wakati wale wa kule Tosamaganga walikuwa wamisionari wa Saint Consolata toka Italy, ambao hawakuwa na ukaribu wowote na watawala wa Kijerumani.
 
Jamii Check , Moderator , Paw
 
Kwahiyo kama walimtenga inajustify Kwasasa pia wasikemee ukandqmizaji na ukiukwaji wa Sheria?
Pia wasupport watu kupelekwa mortuary ilhali bado wapo hai?

Hivi huko mashuleni mkienda somea ujinga?!
 
Maaskofu ndiyo nani nchi hii??

Wameshaambiwa wao waendelee ka kazi zao za dini.

Serikali.imegoma kupokea amri,ushauri wala vitisho.kutoka kwao

Na hawawezi kufanya fyoko.fyoko kwa serikali
Viongozi wa serikali Kila TEC ikitoa tamko wanaachia ushuzi mkali ndiyo maana hawachelewi kujibu kwa mipasho.

Matamko ya maaskofu yana hoja na yanatetemesha serikali dhalimu ndiyo maana wanayajibu Ili kuweka mambo sawa.
 
It doesn't matter alikataliwa na kanisa katoliki kwa sababu ya tabia zake za kunyang'a nya mali za wakatoliki hasa shule na hospitali. Hatukumpenda Nyerere ingawa alikuwa mkatoliki......Mbona wakatoliki wenzake walitaka kumpindua???Akina Kambona hawakuwa wakatoliki? Jeshi la anga katika hao 19 mbona 16 walikuwa wakatoliki. Nyerere amefanya nchi yetu kuwa ya ovyo.....Mimi mkatoliki lakini kwa maoni yangu rais aliyefanya vizuri zaidi katika Tanzania hii ni Mzee wetu Ali Hassan Mwinyi RIP, mwenyezi Mungu amrehemu. Hakuna rais aliyekuwa kama mzee Ruksa! na wala haitatokea, wote waliokuja baada yake ni wahuni tu. Mzee Mwinyi alifungua nchi yetu.
 
Hivi haya majangaiko yote kuhusu RC ni ya nini?
Ni wivu tu mkuu, yaani wao kutokuwa na chochote hasira ni kwa TEC!!.

Viongozi wao hawana shule wala akili maendeleo ya taasisi watayapataje?,
Kazi kutumika hovyo tu na cccm
 
BY the way kwa tukio hilo hapo vp Shehe TEC wamekuthibitishia kwamba wao sio wadini kwa kumpinga rais mkatoliki (Nyerere)??
 
Msijitoe ufahamu ndugu zetu nyie. Na wewe usiingizwe cha kike kama wale mashehe. Kutekwa na kuuawa na kupotezwa na kuiba kura na kunyamazisha upinzani kuna uhusiano gani na kanisa kuwa jogoo?
 
Kanisa lililetwa na tanu au mkoloni
 
Ooooh "Uhuru wa Tanganyika umeletwa na Waislamu, ila Nyerere hakutambua mchango wao baada ya hapo" , mbona na nyie kule Zanzibar mnajisahaulisha kuhusu mchango wa Field Marshal John Okello? Bloody fucken nyie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…