Mbuta Likaso
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 5,414
- 10,555
Kwani Communism inaendana na Islam? Au hujui kuwa at the core of Communism kuna kitu kinaitwa Atheism? Na Atheism haimtambui Allah, Yehova, Yahweh, Yesu wala Muhammad?communism is not good, haiendani na Christianity, ndiyo maana commumist countries nyingi ni islamic …
Aliyekuwa anatuuza ni TEC au ni wale Waislamu akina Abushir na mwenzake Bwana Heri wa Tanga? Au unafikiri hatulijui hilo? Je, TipuTipu alikuwa Muislamu au Mkatoliki? Jibu hapa, usipindishe maneno.Furaha yangu ni kuwavua nguo TEC ambao wanajifanya wana uchungu na Taifa hili kumbe enzi za ukoloni walituuza kwa bwana zao
Kijana wa TECNO ushanipata,ushanijua au nikujuze nikupe THE BIG SHOW?Tipical kijana wa TEC
Mkiishiwa hoja mnakimbilia kwenye matusi as if yanakulipa kwa chochote
Bakora bado ndiyo kwanza tumeanza
Kizimkazi ni town?TEC WAKITAKA KUKUCHUKULIA POA SAMIA,KUMBE WANASAHAU WEWE MWENYEWE NI MTOTO WA TOWN.
Kwahiyo kama walimtenga inajustify Kwasasa pia wasikemee ukandqmizaji na ukiukwaji wa Sheria?
Pia wasupport watu kupelekwa mortuary ilhali bado wapo hai?
Hivi huko mashuleni mkienda somea ujinga?!
Ooooh "Uhuru wa Tanganyika umeletwa na Waislamu, ila Nyerere hakutambua mchango wao baada ya hapo" , mbona na nyie kule Zanzibar mnajisahaulisha kuhusu mchango wa Field Marshal John Okello? Bloody fucken nyie.
Ni wivu tu mkuu, yaani wao kutokuwa na chochote hasira ni kwa TEC!!.
Viongozi wao hawana shule wala akili maendeleo ya taasisi watayapataje?,
Kazi kutumika hovyo tu na cccm
Viongozi wa serikali Kila TEC ikitoa tamko wanaachia ushuzi mkali ndiyo maana hawachelewi kujibu kwa mipasho.
Matamko ya maaskofu yana hoja na yanatetemesha serikali dhalimu ndiyo maana wanayajibu Ili kuweka mambo sawa.
Ndiyo maana tunakushauri uwe unatumia akili hata kama unayo kidogo.
Unabisha mambo usiyoyajua. Familia ya Nyerere ilikaa kwa Mshume, wakati alipoenda kuanza kazi Pugu sekondari, siyo wakati wa harakati za kupigania uhuru. Wakati wa kupigania uhuru, na mwalimu kuamua kuacha uwalimu, familia yake ilienda kuishi Tosamaganga.
Unapenda sana kupindisha ukweli, na kutumbukiza maneno yako ya uwongo kwa sababu ya uozo wa udini uliopo moyoni mwako. Ufahamu kuwa Mwalimu Nyerere hakuwahi kufukuzwa uwalimu Pugu, bali aliambiwa achague kama anataka kuendelea na uwalimu, aachane na siasa, autumie muda wote kufundisha, au la kama anaona hawezi kuacha masula ya siasa, aamue kuacha kazi ya uwalimu, Mwalimu Nyerere akaamua kuandika barua ya kuacha kazi. Hakufukuzwa bali aliamua kuacha kazi.
Ufahamu pia hiyo inayoitwa Pugu Secondary, wakati huo ikiitwa Saint Francis ilikuwa ikimilikiwa na wamusionari wa Capuchin toka Ujerumani, wakati wale wa kule Tosamaganga walikuwa wamisionari wa Saint Consolata toka Italy, ambao hawakuwa na ukaribu wowote na watawala wa Kijerumani.
Kwanini Sasa msilamu hakuwa baba wa Taifa? Kuna nini special alikuwa anacho Julius hao wasilamu hawana na ndo mana wakamfanya awe kiongozi wao? Ama ni ilm dunya?Hawakushiriki kudai uhuru,waislam ndiyo walikuwa bega kwa bega na nyerere...waache shobo na nchi hii
Aliyekuwa anatuuza ni TEC au ni wale Waislamu akina Abushir na mwenzake Bwana Heri wa Tanga? Au unafikiri hatulijui hilo? Je, TipuTipu alikuwa Muislamu au Mkatoliki? Jibu hapa, usipindishe maneno.
Huo ubaba wa Taifa anautoa nani kwanza?Kwanini Sasa msilamu hakuwa baba wa Taifa? Kuna nini special alikuwa anacho Julius hao wasilamu hawana na ndo mana wakamfanya awe kiongozi wao? Ama ni ilm dunya?
Hawakutoa hayo kwasabu ni waislam kama unavyotka kutuaminisha wametoa kwasabu ya nafsi zao..acheni swaga za cheap udini zitaja kuwagharimuNakueleza mambo ambayo kwenye historia yako ya binadamu wa zamani alikuwa nyani huwezi kuambiwa unasema sijaenda shule??
Unamjua wewe mzee mshume kiyate kuwa ndie ambae alimpa nyumba nyerere na kumpa.mshahara kila.mwezi??
Unajua kuwa safari ya kwanza kwenda UN pesa alichangiwa na waislam??
Acheni kuteka na kuua watanganyika nyie watu, haya ndio madai ya msingi ya watu.
Historia ya Nyerere with whoever haituhusu wengine tumezaliwa 90’s na 2000, Kivyovyote nchi ilikua lazima kukombolewa kwenye mikono ya wakoloni, What’s the big deal about this!
Msituletee nonsense za Nyerere, kwanza CCM na viongozi wake wana maovu yao tangu na tangu na hamna msafi, tofauti ni huyu mama yenu amepitiliza viwango.
Kelele nyingiiii hamjibu kwanini mnateka watu na kuua watu wanaowakosoa.
Hawakutoa hayo kwasabu ni waislam kama unavyotka kutuaminisha wametoa kwasabu ya nafsi zao..acheni swaga za cheap udini zitaja kuwagharimu
Ww utakuwa ni mzee lazima, ndio maana unaleta historia zisizo na tija. Ww ndio umebaki kuamini habari za Mungu zisizo na udhibitisho. Kizazi hiki ni kingine kabisa. Huyo Nyere mwenyewe ndio kila siku unajiliza hapa aliwaonea waisilamu. Tushike lipi toka kwako?Udini mnao nyinyi
Na ndiyo maana nyerere hakuwa na aibu kuwachana hadharani kwenye hotuba ile
Na hizi fujo ambazo kanisa wanaleta hivi sasa hazina tija kwa kuwa sisi historia ya nchi hii tunaifaham
Kanisa alikuwa mshirika mkubwa wa mkoloni kwa hiyo huo uchungu na taifa hili hawajawahi kuwa nao
TEC hawaishikii serikali fimbo bali wanawatoa mapendekeza wako kama Moja ya asasi muhimu hapa nchini jambo ambalo hata BAKWATA wangeweza wangeamua.Zama za.wavaa maguni nchi hii zimeisha
Na Rais samia kawachana makavu kuwa Taifa hili halipokei amri za kanisa wala vitisho vyao
Waraka zao wakafungie kitimoto