peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Rais wa Tucta ama shirikisho la vyama vya wafanyakazi amesema wamepokea malalamiko mengi kutoka kwa watumishi wa serikali kuhusu nyongeza za mishahara ya 23% waliokua wanaitegemea kama alivyoahidi rais kwenda kinyume na matarajio yao.
Rais wa TUCTA amesema wamepokea malalamiko na watatolea ufafanuzi hivi karibuni.