Ukweli sisi tunaojitolea kulipa makavu Kanisa Kotoliki kwa matendo yake yasio na uwajibikaji matendo yenye kupanda mbegu za utengano badala ya Umoja
Wkt tunawapa maneno aya tunajua Kanisa Kotoliki lina nguvu nyungi za kila namna
Wana kilakitu mikonani mwao ikiwemo Wajuzi wabobevi wa IT
tunajitolea japo tunajua tunaweza kufikiwa na Kanisa Katoliki Wengi wanaogopa kulipa ukweli Kanisa Kotoliki japo hawavutiwi na matendo yao !!
lkn sisi tunajitoa kusema kumea kwani tusiposema utengano utakuja kutusuta siku za mbele kizazi chetu kitakuja kujikuta kiko kwengine baada ya wao kuwa wakimbizini kwa watu watatuona sisi sote wapumbavu mbele yao😳
Neno lolote lenye kujitenga kidini kikabila kikanda kwasababu tu za maslahi ya Kanisa katoliki lazima tutapinga kwasababu sio rafiki na Umoja wa kitaifa
Kanisa katoliki waelewe kwa heshima
Sisi sio mbumbumbu wa kumbukumbu zao tangu 1990 mpaka sasa tupo 2026
Miaka iyo 35 tuwanawaomba wakitaka kuwadanganya watoto wa miaka 18-20
kwamba wao wanapigania Demokrasia
au
wanapiganiq HAKI
basi wawadanganye Watoto kimya kimya kwenye parokia zao 😳😳
Uku nje ya Kanisa !!
Wengine tunakumbukumbu zenu
Nyingi
Ukweli mnapigania mikate yenu tu sio Demokrasia
sio Haki!!
Kwa mfano mwaka 2001 chama cha CUF walifanya Maandamano makubwa wakipinga tume ya Uchaguzi wakitaka Demokrasia kwenye tume ya Uchaguzi ❗❗ wakauwawa wengi
wakakamatwa wengi mpaka Mashekh
lkn sisemi Nyinyi Kanisa miliuwa hapana Kanisa ni Safi
lkn
Kanisa lilikuwa kwenye mafasi gani kipindi kile cha mauaji 😳😳❗❗
Matamko yale ndio HAKI kweli kile mlifanya kinafanana na wapigania Demokrasia kweli ❗
Kwakuwa Rais ni Benjamin William Mkapa Mkatoliki mwenzenu
Japo basi mmngekaa kimya kuunga mkono kimya kimya mauaji ya Waandamanaji wana chama wa CUF
lkn Chuki zenu zilikuwa waziwazi kiasi mkawa mnatoa matamko ya kutaka vyombo vya Usalama kuongeza nguvu kupambana na wanaCUF
Wenye kuandamana kwa Amani
Mkawaita wafanya fujo wavunjifu wa Sheria wavunjifu wa Amani wanatumwa na Waarabu
Nguvu ziongezwe manake wapigwe zaidi wakapigwa kweli kweli 😳😳😳
Mo29 hakuna Sheikh yoyote katoa neno kusema Waandamanaji wauwawe au kulalamikia nguvu ndogo wakiwa na maana Kipigo kiongezwe
Mmeona tofauti hiyoo
Hakuna Sheikh mwenye kutambuliwa katoa neno la kuchochea kupigwa watu kutokea taasisi kubwa mfano wa Bakwata
kama vile wao waliongea kutokea Kanisa Kotoliki taasisi kubwa nchini!!!