Unfortunately mimi Sio mtawalaVitu vingine tumieni common sense,hukumu imetoka ikawa upande wa Lissu!Mawakili wakaenda kumuona,Hali ikawa ile ile,akawapa hukumu wakasema hawaitambui!Baadae wakasema watakata rufaa hivyo hakuna faragha,ndio akaamua hapo hapo kwamba,kwakuwa ananyimwa haki zake pamoja na hukumu kutoka basi anaanza mgomo wa kula!
Sasa tuelezeni,kanisa hapo limehusikaje?Mnazuia watu kumuona,hata mtu akifanikiwa kama mawakili wake basi maongezi Yao yanasikilizwa!Hilo kanisa limeenda lini kwa lIssu kumweleza Cha kufanya?
Mnaendelea kuligawa taifa kidini,kama mnadhani mnasaidia basi ndio mnaharibu kabisa!
Purely nonsense!Unfortunately mimi Sio mtawala
Ila nashauri na wewe ugome kula na hao mawakili wagome kula
RubbishPurely nonsense!
A hunger strike is a method of non-violent protest where a person deliberately refuses to eat food (and sometimes fluids) for a prolonged period of time to force authorities or opponents to meet specific demands.
Na hilo sio jambo jipya duniani,wameshafanya watu wengi sana ikiwa namna ya kudai haki Yao iliyopokwa!
Jijengeeni tabia ya kusoma mambo mbali mbali ya ulimwengu kutanua bongo zenu zilizodumaa kwa kukosa maarifa!
Huna akili,nisipokula italeta impact gani?Tumia kichwa chako kufikiri sio unapayuka tu!Rubbish
Gomeni naye basi
Nyie mnakaa kwenye ofisi zenu na bata mnakula huku mnampigia makofi mtu anayejitesa
Binadamu wanafiq sana aisee
I would respect you if you join him kwenye hunger strike
Mbaaf wahed
But you support Lissu ajitese kwa kutokula sio?Huna akili,nisipokula italeta impact gani?Tumia kichwa chako kufikiri sio unapayuka tu!
Mmemuweka gerezani zaidi ya mwaka na nusu kwa kesi ya kubambika baada ya kumkosa kwa risasi!ninyi na watesi wenzenu ndio wapumbafu msiojali utu!Uroho wa madaraka tu kwa damu za watu!Watekaji,Wauaji,wabambika watu kesi,shwain kabisa!
Damu za watanzanania zitawafuata Hadi makaburini,mmbwa nyinyi!
Huo ni uamuzi wake binafsi na naamini ana malengo yake!Namuunga mkono!Kama nami ningeweza kukaa njaa Halafu ikaongeza kitu ningefanya hivyo!But you support Lissu ajitese kwa kutokula sio?
Damu za wanaoteseka kwa kudanganywa na madalali wa mabeberu kama wewe hazitawaacha
Ila ujue dunia inasikiliza kanisa Katoliki na kuliamini.Hali chakula gani?
Hawa wazugaji wa migomo ya kula unakuta anakunywa uji au matunda na kunywa maji kila siku halafu anasema yuko mgomo wa kula
Mnafiki mkubwaHuo ni uamuzi wake binafsi na naamini ana malengo yake!Namuunga mkono!Kama nami ningeweza kukaa njaa Halafu ikaongeza kitu ningefanya hivyo!
Mnakatalia Hadi hukumu ya mahakama Halafu mpira mnautupa kwingine,are u insane?
Mmemnyima haki ya kutetewa kwa kuzuia mawakili wake wasionane naye kwa kipindi chote Cha kesi,Halafu unajifanya una huruma alipogoma kula!Acheni unafiki w
Mamlaka ya kibinadamu inawekwa na Mungu kwa sauti ya watu wake.Hiyo si mamlaka ya kimungu ni ya kibinadamu
Kama wewe bi muumini utatambua Kwamba enzi zile za manabii hakukua na domokrasia⦠unakatwa kichwa falme zinaendelea
Sijui mtajifunza lini kuchanganya dini na domokrasia
Wewe ni juha,Chawa promax!Muachieni huru mbwa nyie!Mnafiki mkubwa
Susa kula na wewe basi
Ushabiki mandazi ni kitu kibaya sana
Mkuu huwa unalipwa kiasi gani kwa kufanya huu upuuzi unaoandika humu jamiiforumuko sahihi 100%.
Mbona mnahangaika sana na kanisa katoliki kulikoni!Bagonza na mwamakula ni wakatoliki?au mnamwona kitima pekee!Kupitia TEC,
Kanisa katoliki linaitumia chadema kama platform ya kuhamasisha na kutekeleza malengo na nia zake ovu dhidi ya serikali sikivu ya CCM na kuchochea tena fujo, ghasia na maafa katika taifa letu. Kupitia chadema, kanisa limeelekeza chadema kuhamasisha watu kugoma kula kuanzia tar.26.10.2026 hadi tar.29.10.2026, siku ambayo wamepanga kufanya ibada ya ghasia.
Ni vizuri kama taifa kuungana na kupinga nia na dhamira ovu ya kanisa katoliki kwa mgongo wa chadema dhidi umoja, amani na usalama wa Taifa letu.
Ni muhimu sana vyombo vya ulinzi na usalama kufuatilia kwa karibu zaidi dhamira ya tec kupitia chadema kwa taifa letu.
Mungu Ibariki Tanzania.
Huo ukweli wako mchungu kwanini usiwaambie watekajituliza mihemko useless jukwaani gentleman,
daima ukweli mchungu na unaumiza moyo sana.
vumilia utazoea tu π
Kwahiyo ya Polepole ilikuwa scripted?Scripted political drama ndio utekaji, right?π
Hii dhana uliyonayo ipo kwa watu wengi, kwamba matatizo ya mwenzako hayakuhusu. Ila kila mtu litamfika kwa wakati tofautiUnfortunately mimi Sio mtawala
Ila nashauri na wewe ugome kula na hao mawakili wagome kula