Na afande mwanamama kapewa hukumu gani
Waliofanya maishaa
Aliowatumaaa atapewaaa jeneza
Eatv wametangaza wote waliohusika wamepigwa ban life sent...
Bora pawpaw akupitie na ban ya mwezi wiki woiiii
Maishaaaaa oteee
Yaaan hope wameshaandika urithi kama n nduguzakoo weka sawa mapema wale usishangae kusikia wamejiua gerezan
2.kama wameoa hakikisha wake wanapata haki zao stahiki
Ikiwezekana wakafungue kabisa kesi ya talaka mapema wamalizane na jamaa kwenye mgaoo wakaanze maisha mapyaa
3.kama wana watotoo ndugu hii n ajali msiwanyanyapae wapeni elimu kama kawaidaaaaa wataelewa tyu ukubwani baba kawekwa ndani kwa ufiraunj
4mwishoo kama n ndugu mkaombe radhi kwa yule mtoto na familia zakee
Nawaambiaa hii dhambii huwa haimwachi mtu salamaaa kama amefanya baba msishangae na wanae wakaja kufanya ushenzi huo huo
Ombeni radhi
Nendeni kanisani ama msikitini mkatubu kwa kola wenu kwaniaba ya huyu mhuni else hasira za Mungu azitowaachaa
Hayo2.
Karibuni tupate dompo hapa