Hili sio jambo lakufurahia na kushangilia, Jamaa wamekosea kwakweli walifanya kitendo kibaya ila hiyo haiwaondoi kwenye kundi la binadamu, tumepoteza vijana watano kwa mpigo ni jambo la kusikitika na kutafakali hususani sie Vijana bado tunasafari ndefu na mapitio mengi ila inashangaza watu kufurahia wenzao kuharibikiwa, Sio poa wamekosea kweli na wamehukumiwa kwa haki ila sawa ila hili sio jambo la kufurahia
 
Unamaanisha nini,kwahiyo aliyrbakwa ndio anastahili kusikitika?

Upo serious au umeshtuka usingizini kisha ukagusa keybord
 
Duh,kwahiyo hapo tobo ni editing,lkn si kuna wataalamu wa hayo mambo,naamini watakuwa wamejiridhisha mpk kufikia hiyo hukumu
 
Unamaanisha nini,kwahiyo aliyrbakwa ndio anastahili kusikitika?

Upo serious au umeshtuka usingizini kisha ukagusa keybord
Namaanisha Wamekosea ila sio sababu ya wewe kufurahia matatizo mazito kiwango hiki kwa binadamu mwenzio labda kama una urakini kwenye nafsi yako
 
Wanastahili hiyo adhabu ningekuwa hakimu ningewaongezea na viboko mia kila mmoja

Unaenda jela maisha kisa K!!
 
Hapa kuna mambo mawili , kukata rufaa na rufaa kusua sua , kutoka kwa msamaha wa rais
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…