Nilufer
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 9,603
- 13,654
Matobo yapi mkuu, tushirikishe ili tujifunze.Imefanywa hivyo ili kupoza joto la kisiasa,hao watatoka kwenye rufaa kesi Ina matobo mengi sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matobo yapi mkuu, tushirikishe ili tujifunze.Imefanywa hivyo ili kupoza joto la kisiasa,hao watatoka kwenye rufaa kesi Ina matobo mengi sana.
So what?Kesi imesikilizwa kwa haraka mno maana yake walishahukumiwa kabla haijasikilizwa, na wahanga wa ubakaji wengine nao kesi zao hazisikilizwi haraka hivyo sababu hawakurekodiwa video na kurushwa ktk social medias!!
Acha kujua bila kujuzwaUmesema yeye yupo nje nikajua ana kesi ya ubakaji
Irregularities nyingi ni curable sio kila irregularity eti inatengua hukumu nzima.Hii niko sure hazikosekani irregularities tena zinazogusa core issues kabisa.
Kuna baadhi ya kesi zina attention ya public interest kwahiyo lazima zisikilizwe in a fast track.Kesi imesikilizwa kwa haraka mno maana yake walishahukumiwa kabla haijasikilizwa, na wahanga wa ubakaji wengine nao kesi zao hazisikilizwi haraka hivyo sababu hawakurekodiwa video na kurushwa ktk social medias!!
Mbona mwanzo hukusema hivyo.Gang rape ikithibitika huwa ni life imprisonment haina mjadala.
Usije kufanya kosa ukiwa na akili timamu ukidhani ukikamatwa utajitetea nilitumwa😅 haya umesikia katika maelezo ya waliohukumiwa wakisema walitumwa? Au kwenye hiyo video Kuna sehemu panasema tumetukwa na fulani?
Mwanaume acha alawitiwe tu kenge wewe unachukia mke wa mtu aliegharmia halafu ukiliwa unataka wananchi wakusaidie mbwa wexe dunia Haina haki Kwa mwanaume unataka utetewe wewe demuBinafsi ingekua watanzania wote tuna moyo wa hivi basi tungekua sehemu salama
Kabla ya clip hii kuna clip iliwahi tumwa ya mwanaume aliyefumaniwa alilawitiwa na kudhalilishwa kama huyu Dada na ilisambaa lakini hakuna hata mmoja aliyepiga kelele kuhusiana na haki ya yule mhanga na wanaume wengi walisupport kile kitendo as if ni sahihi na kwamba mke wa mtu ni sumu
Nawaza tu kama tunalilia haki basi haki sawa iwe kila upande sio mwanaume akilawitiwa inaonekana ni sawa na wala hutosikia watu wakilalamika na inaonekana ni njia nzuri ya kukomesha kutembea na wake za watu Ila mwanamke basi mpaka press zitaitishwa na matamko kutoka taasisi za haki za binadamu juu ya ukatili aliofanyiwa
Binafsi naona maamuzi yamezingatia haki kwasababu sheria zipo kulinda haki lakini haki ziwe sawa kwa wote
Kuna yule mwingine alikuwa anaanzisha thread kila siku eti yule binti ni mal.ya tu. Hamna kesi paleMbona mwanzo hukusema hivyo.
Nyie si ndio mlikuwa mnasema hakuna kesi hapo!
Hao wahuni wamekuwa mbuzi wa kafara tuu, yu wapi Afande aliye watuma?Sasa mpumzisheni Mama Samia mwenye kusimamia haki. Walikuwa wanamchafua kuwa serikali yake haitendei haki watu. Viva samia. Mitano tena. Mihimili yote iko fair fair fair fair
Hata kama kuna irregularities ilitokea kwenye court of first instance as long as it doesn't go to the root of the case haiwezi kutengua uamuzi husika.Kule juu hawahangaiki na ushahidi sana hasa Court of Appeal kuna procedure kama ilivurundwa huku chini basi kule juu hawapepesi macho.
Acha ujuaji matobo yapi yaliyoachwa? Ingekuwa kuna matobo unayodhani unafikiri wanasheria upande wa utetezi wangeacha kuyatumia kuwanasua wateja wao hadi wasubiri rufaa?Imefanywa hivyo ili kupoza joto la kisiasa,hao watatoka kwenye rufaa kesi Ina matobo mengi sana.
Noma sanaMahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma, imewahukumu kifungo cha maisha gerezani washtakiwa wanne maarufu ‘waliotumwa na afande’, baada ya kuwatia hatiani kwa kosa la kubaka kwa kundi na kumwingilia kinyume cha maumbile binti, mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dar es Salaam.
Ni katika kesi ya jinai namba 23476 ya mwaka 2024 iliyokuwa inawakabili washtakiwa hao akiwamo MT 140105 Clinton Damas, maarufu Nyundo ambaye ni askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), askari Magereza C.1693 Praygod Mushi, Nickson Jackson ‘Machuche’ na Amin Lema anayejulikana pia kwa jina la Kindamba.
Hukumu hiyo imetolewa leo Jumatatu, Septemba 30, 2024. Pia, Mahakama hiyo imewataka kila mmoja kumlipa binti huyo fidia ya Sh1 milioni.
Pia soma
Sasa Mkuu hukusoma hapo niliposema core issues au unataka tu uonekane ulibisha?, unachokisema nakijua na ndio maana nikakiweka hapo.Irregularities nyingi ni curable sio kila irregularity eti inatengua hukumu nzima.
Kama Irregularities haijaenda to the root of the case hiyo ni curable haiwezi kuathiri hukumu kivyovyote.
Afande aliyewatuma yuko wapi?Sasa mpumzisheni Mama Samia mwenye kusimamia haki. Walikuwa wanamchafua kuwa serikali yake haitendei haki watu. Viva samia. Mitano tena. Mihimili yote iko fair fair fair fair