Nyundo na wenzake wakutwa na hatia, wahukumiwa kifungo cha Maisha Jela
Kesi imesikilizwa kwa haraka mno maana yake walishahukumiwa kabla haijasikilizwa, na wahanga wa ubakaji wengine nao kesi zao hazisikilizwi haraka hivyo sababu hawakurekodiwa video na kurushwa ktk social medias!!
So what?
Kama wamekiri unafanyaje?
 
Hii niko sure hazikosekani irregularities tena zinazogusa core issues kabisa.
Irregularities nyingi ni curable sio kila irregularity eti inatengua hukumu nzima.

Kama Irregularities haijaenda to the root of the case hiyo ni curable haiwezi kuathiri hukumu kivyovyote.
 
Kesi imesikilizwa kwa haraka mno maana yake walishahukumiwa kabla haijasikilizwa, na wahanga wa ubakaji wengine nao kesi zao hazisikilizwi haraka hivyo sababu hawakurekodiwa video na kurushwa ktk social medias!!
Kuna baadhi ya kesi zina attention ya public interest kwahiyo lazima zisikilizwe in a fast track.

Ungekuwa mtu wa kada husika ningekupa legal terminologies zinazohusiana na namna kesi zinavyoendeshwa kutegemea na public attention na mahakama inaweza kuzingatia maamuzi fulani kutokana na current situation ya wakati husika.
 
Watu wanatumia mihemko tu, ni vigumu Sana kuthibitisha uhusika na huyo mtumaji.... Mahakama inahitaji ushahidi usioacha shaka
Usije kufanya kosa ukiwa na akili timamu ukidhani ukikamatwa utajitetea nilitumwa😅 haya umesikia katika maelezo ya waliohukumiwa wakisema walitumwa? Au kwenye hiyo video Kuna sehemu panasema tumetukwa na fulani?
 
Binafsi ingekua watanzania wote tuna moyo wa hivi basi tungekua sehemu salama

Kabla ya clip hii kuna clip iliwahi tumwa ya mwanaume aliyefumaniwa alilawitiwa na kudhalilishwa kama huyu Dada na ilisambaa lakini hakuna hata mmoja aliyepiga kelele kuhusiana na haki ya yule mhanga na wanaume wengi walisupport kile kitendo as if ni sahihi na kwamba mke wa mtu ni sumu

Nawaza tu kama tunalilia haki basi haki sawa iwe kila upande sio mwanaume akilawitiwa inaonekana ni sawa na wala hutosikia watu wakilalamika na inaonekana ni njia nzuri ya kukomesha kutembea na wake za watu Ila mwanamke basi mpaka press zitaitishwa na matamko kutoka taasisi za haki za binadamu juu ya ukatili aliofanyiwa

Binafsi naona maamuzi yamezingatia haki kwasababu sheria zipo kulinda haki lakini haki ziwe sawa kwa wote
Mwanaume acha alawitiwe tu kenge wewe unachukia mke wa mtu aliegharmia halafu ukiliwa unataka wananchi wakusaidie mbwa wexe dunia Haina haki Kwa mwanaume unataka utetewe wewe demu
 
Sasa mpumzisheni Mama Samia mwenye kusimamia haki. Walikuwa wanamchafua kuwa serikali yake haitendei haki watu. Viva samia. Mitano tena. Mihimili yote iko fair fair fair fair
Hao wahuni wamekuwa mbuzi wa kafara tuu, yu wapi Afande aliye watuma?
 
Kule juu hawahangaiki na ushahidi sana hasa Court of Appeal kuna procedure kama ilivurundwa huku chini basi kule juu hawapepesi macho.
Hata kama kuna irregularities ilitokea kwenye court of first instance as long as it doesn't go to the root of the case haiwezi kutengua uamuzi husika.

Kesi inaweza kuwa dismissed kwenye appellate courts kama tu irregularities imeathiri msingi mkuu wa kesi kitu ambacho ni nadra sana kutokea.
 
Imefanywa hivyo ili kupoza joto la kisiasa,hao watatoka kwenye rufaa kesi Ina matobo mengi sana.
Acha ujuaji matobo yapi yaliyoachwa? Ingekuwa kuna matobo unayodhani unafikiri wanasheria upande wa utetezi wangeacha kuyatumia kuwanasua wateja wao hadi wasubiri rufaa?

Hii kesi hata ikienda rufaa bado mahakama ya rufaa ita uphold uamuzi wa mahakama ya iliyotoa hukumu.
 
Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma, imewahukumu kifungo cha maisha gerezani washtakiwa wanne maarufu ‘waliotumwa na afande’, baada ya kuwatia hatiani kwa kosa la kubaka kwa kundi na kumwingilia kinyume cha maumbile binti, mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dar es Salaam.

Ni katika kesi ya jinai namba 23476 ya mwaka 2024 iliyokuwa inawakabili washtakiwa hao akiwamo MT 140105 Clinton Damas, maarufu Nyundo ambaye ni askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), askari Magereza C.1693 Praygod Mushi, Nickson Jackson ‘Machuche’ na Amin Lema anayejulikana pia kwa jina la Kindamba.

Hukumu hiyo imetolewa leo Jumatatu, Septemba 30, 2024. Pia, Mahakama hiyo imewataka kila mmoja kumlipa binti huyo fidia ya Sh1 milioni.

Pia soma
Noma sana
 
Irregularities nyingi ni curable sio kila irregularity eti inatengua hukumu nzima.

Kama Irregularities haijaenda to the root of the case hiyo ni curable haiwezi kuathiri hukumu kivyovyote.
Sasa Mkuu hukusoma hapo niliposema core issues au unataka tu uonekane ulibisha?, unachokisema nakijua na ndio maana nikakiweka hapo.

Alafu pili jinai irregularities zake karibu zote zinaleta doubts na zinauwezo wakupiga maamuzi chini sababu ya standard of proof kwenye jinai ni kali sana.
 
Back
Top Bottom