Asikudanganye mtu, hao "hao akina namkanyaga shetani nao ni pasua kichwa tu" mke mwema ni malezi alikotokaOlder mnaokimbiliaa ndoa
Bora uchelewe kuoa ukimwomba Mungu akupe mwenye hofu yake
Mwanamke pekee atakayeishi kwa upendo nidhamu na hekima
Ni yule aliye na hofu na Mungu
Haya makanjanjaaa yamejazana ibdan yanaotea kama betting usijichanganye kizembee utakufaà
Ukishayaoaa yanageuka kuwa mbwa mwitu mpendwa acha tu
Yaani kila alitendalo akilini mwake anakuwa aware kwamba Mungu asiyesinzia wala kulala anamuona. Hii ndio Hofu ya Mungu ambayo mtu akiikosa anajifanyia mambo kama mnyama tu!.Hofu Mungu ndio kufanyaje?
Anakuwa anamuhofia sana mungu au?
Malezi hayamzidi nguvu SHETANIAsikudanganye mtu, hao "hao akina namkanyaga shetani nao ni pasua kichwa tu" mke mwema ni malezi alikotoka
MUOMBE MUNGU AKUPE MKE BORA ILA HAO MNASEME MWENYEOFU YA MUNGU NDIO WAKE BOLA WOTE TUNGEENDA KUOA ZILIPO AZISWA DINIKILA LA KHERI MWANANDOA MTARAJIWA UNAAAENDA KUFUNGA NDOA KESHO
MUNGU AKUPE FURAHA AMANI KTK NDOA YAKO
NAJUA KWA WEWE TOO LTE MZIGO LAZIMA UVUKE MTO KESHO
ZIDISHA MAOMBI UENDAKOO
HiyoAcheni kujidanganya nyie hakuna cha hofu ya Mungu wala nini binadamu akiamua kugeuka atageuka tu!, si Mungu si shetani atamsimamia binadamu ni utashi wake binafsi leo anaweza kusema ndio kesho anaweza kusema sio!.
Kama unaoana na mtu kisa anahofu ya kitu fulani basi jua bado unasafari ndefu!, maana hofu ya hicho kitu ikiondoka utasaga meno!.
Kwa kiumbe kinachoitwa binadamu hakuna kitu permanent siri ya vitu anavyovitaka yeye maishani ni siri yake tu!.
Ishini mguu ndani mguu nje, mkifanikisha malengo yeni hiyo ni heri kwenu.
Ukweli ambao hamtaki kuusikia ni huu "Binadamu hababaishwi na kitu kinachoitwa hofu ya Mungu, akiamua ku kengeuka atakengeuka tu".
Mtu kama anampuuza Mungu muumba wake sembuse wewe?. Hoja ya hofu ya Mungu haina sub!Acheni kujidanganya nyie hakuna cha hofu ya Mungu wala nini binadamu akiamua kugeuka atageuka tu!, si Mungu si shetani atamsimamia binadamu ni utashi wake binafsi leo anaweza kusema ndio kesho anaweza kusema sio!.
Kama unaoana na mtu kisa anahofu ya kitu fulani basi jua bado unasafari ndefu!, maana hofu ya hicho kitu ikiondoka utasaga meno!.
Kwa kiumbe kinachoitwa binadamu hakuna kitu permanent siri ya vitu anavyovitaka yeye maishani ni siri yake tu!.
Ishini mguu ndani mguu nje, mkifanikisha malengo yeni hiyo ni heri kwenu.
Ukweli ambao hamtaki kuusikia ni huu "Binadamu hababaishwi na kitu kinachoitwa hofu ya Mungu, akiamua ku kengeuka atakengeuka tu"
Dini haimfinyangi mtu kuwa Mke/Mume bora bali Kristo Yesu. Epuka matapeli.MUOMBE MUNGU AKUPE MKE BORA ILA HAO MNASEME MWENYEOFU YA MUNGU NDIO WAKE BOLA WOTE TUNGEENDA KUOA ZILIPO AZISWA DINI
ConsistencyUnaipimaje?
Kaka hii ni bonge ya fact, nje wanaonekana wameokoka, lakini hawataki kuacha tabia mbovuIla sio hawa waliokoka ukubwani,ambao wanatafuta ndoa kwa nguvu huku wakisahau kurekebisha tabia zao zilizo wafanya wachelewe kuolewa.
hapo ndipo upeo wako ulipoishia!Hiyo
Mtu kama anampuuza Mungu muumba wake sembuse wewe?. Hoja ya hofu ya Mungu haina sub!
Ukilipuuzia hili lazima utaingia kwenye kujipa mateso ya kuishi na Mtu mguu ndani mguu nje!
Older mnaokimbiliaa ndoa
Bora uchelewe kuoa ukimwomba Mungu akupe mwenye hofu yake
Mwanamke pekee atakayeishi kwa upendo nidhamu na hekima
Ni yule aliye na hofu na Mungu
Haya makanjanjaaa yamejazana ibdan yanaotea kama betting usijichanganye kizembee utakufaà
Ukishayaoaa yanageuka kuwa mbwa mwitu mpendwa acha tu
Kontoro aliyekudanganya kwamba Mungu haupo nani?Siyo kweli.
Hofu ya mungu haiwezi mfanya mwanamke awe mke Bora maana mungu mwenyewe hayupo na Wenye hofu wakifanya ushenzi hawadhuliki kwa lolote.
Wameolewa hadi watawa na ndoa hazikuwork sembuse hawa wapakwa mafuta ya mwampisa? Omba Mungu akupe akili ili uoe.Older mnaokimbiliaa ndoa
Bora uchelewe kuoa ukimwomba Mungu akupe mwenye hofu yake
Mwanamke pekee atakayeishi kwa upendo nidhamu na hekima
Ni yule aliye na hofu na Mungu
Haya makanjanjaaa yamejazana ibdan yanaotea kama betting usijichanganye kizembee utakufaà
Ukishayaoaa yanageuka kuwa mbwa mwitu mpendwa acha tu
Zoa yeyote uishi nae mguu ndani mguu nje kama ajili yako inavyokutuma uone kama hiyo Ndoa hutaiona mzigo!hapo ndipo upeo wako ulipoishia!
Umeaza vizur mwisho ndio umeharibuDini haimfinyangi mtu kuwa Mke/Mume bora bali Kristo Yesu. Epuka matapeli.
kasome upya nilichoandika inaonekana hujaelewa!Zoa yeyote uishi nae mguu ndani mguu nje kama ajili yako inavyokutuma uone kama hiyo Ndoa hutaiona mzigo!
Wameolewa hadi watawa na ndoa hazikuwork sembuse hawa wapakwa mafuta ya mwampisa? Omba Mungu akupe akili ili uoe.
Siandiki kufurahisha genge,naandika nilichokishuhudia katika uhalisia wake!Umeaza vizur mwisho ndio umeharibu
Ya vitu gani? Kwenda kusali?Consistency