Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Wanaweza kumtwanga tenaDaa hizi sheria za msajili wa vyama vya siasa... mbona Mrema na TLP yake wanamwuunga mkono Magufuli wala hatukusikia lolote?......Msajili amechomoko kutoka aliko baada tu ya kusikia Maalim Seif anamwuunga mkono Tundu Lissu.....Huyu Lissu hamtaweza kumzuia kuingia Ikulu kama mlivyoshindwa kumzuia asiishi kwa risasi 16
Ndio tegemeo lenu pekee.😀😀 NEC wamechomoa betri
Ofisi inayosimamia usajili wa vyama nchini Tanzania imesisitiza kuwa vyama vya kisiasa vinapaswa kuheshimu sheria vinapoingia katika ushirikiano wa aina yoyote ama miungano kabla ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu nchini humo.
Ofisi hiyo imesema kwamba vyama hivyo vinapaswa kuwasilisha ushirikiano au muungano huo kwa msajili wa vyama miezi mitatu kabla ya kufanyika kwa uchaguzi.
View attachment 1577854
[emoji3][emoji3] NEC wamechomoa betri
Kwani kura zimeshapigwa? Mtaona kwenye Sanduku la kura au kama mmechukia sana tukamateni wananchi tusiende kupiga kura siku ya uchaguzi. Kura zote kwa Tundu lissu. Shikamoo maalimVyama vya upinzani vina wafuasi wajinga wajinga hivi
Kwa nn hamkuungana kabla ?
Mende achukue fomu,arudishe fomu,azindue kampeni ,aanze kampeni rasmi kisha aje ajitoe hizi akili za wapi?
Au mnafikir uchaguzi mkuu ni kama uchaguzi wa m,kiti wa chadema
Mgombea anaweza kujitoa wakati wowote apendavyo
Badala ya kuwasema viongozi wenu waache upumbavu katikati ya vita nyie wafuasi wake mnawasupport kwa upumbavu wao hizo ni akili za sigara bwege
Inawezekana wewe ndiye unayekosea kudhani wame/walikosea.Vyama vya upinzani vina wafuasi wajinga wajinga hivi
Kwa nn hamkuungana kabla ?
Mende achukue fomu,arudishe fomu,azindue kampeni ,aanze kampeni rasmi kisha aje ajitoe hizi akili za wapi?
Au mnafikir uchaguzi mkuu ni kama uchaguzi wa m,kiti wa chadema
Mgombea anaweza kujitoa wakati wowote apendavyo
Badala ya kuwasema viongozi wenu waache upumbavu katikati ya vita nyie wafuasi wake mnawasupport kwa upumbavu wao hizo ni akili za sigara bwege
Nyani haoni kundule
Wadau wamkumbusha ya CCM, TLP na UDP.