Uchaguzi 2020 Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa: Vyama vya Siasa vinavyotaka kushirikiana Uchaguzi Mkuu vimeshachelewa kwa mujibu wa Sheria

Uchaguzi 2020 Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa: Vyama vya Siasa vinavyotaka kushirikiana Uchaguzi Mkuu vimeshachelewa kwa mujibu wa Sheria

Daa hizi sheria za msajili wa vyama vya siasa... mbona Mrema na TLP yake wanamwuunga mkono Magufuli wala hatukusikia lolote?......Msajili amechomoko kutoka aliko baada tu ya kusikia Maalim Seif anamwuunga mkono Tundu Lissu.....Huyu Lissu hamtaweza kumzuia kuingia Ikulu kama mlivyoshindwa kumzuia asiishi kwa risasi 16
Wanaweza kumtwanga tena
 
Ukweli sioni madhara yoyote kwa wananchi kama vyama vitaamua kuungana hata mwezi mmoja kabla ya uchaguzi. Kama yapo nipo tayari kujifunza.
 
Tawi la ccm kazini😆
Bahati nzuri Lisu anaijua sheria ndio maana wameungana mkono majukwaani kitu ambacho wananchi wamekielewa ila tume imebaki mdomo wazi bila kujua la kufanya.
 
Huyo Jaji hana ubavu wa kupindua meza,sana sana itabidi ajiondoe kwa aibu.
Kitu muhimu ni katiba mpya yenye tume huru kwanza kuliko uchaguzi wenyewe. Wapinzani wanajidanganya kutegemea ushindi kwa mazingira yasiokuwa sawa kwa wote.
 
Ofisi inayosimamia usajili wa vyama nchini Tanzania imesisitiza kuwa vyama vya kisiasa vinapaswa kuheshimu sheria vinapoingia katika ushirikiano wa aina yoyote ama miungano kabla ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu nchini humo.

Ofisi hiyo imesema kwamba vyama hivyo vinapaswa kuwasilisha ushirikiano au muungano huo kwa msajili wa vyama miezi mitatu kabla ya kufanyika kwa uchaguzi.

View attachment 1577854

Wamechelewa kufanya Muungano huo kama Sheria inavowataka...
Kwasasa wakae kwa kutulia Dawa iingine, Walitahadharishwa kujiunga mapema kabla ya Uchaguzi kwani Nguvu ya JPM sio ya kitoto.
Wapinzani mtaburuzwa sana mwaka huu, Litakufa Jituu🔥🔥🔥🔥
 
Vyama vya upinzani vina wafuasi wajinga wajinga hivi
Kwa nn hamkuungana kabla ?
Mende achukue fomu,arudishe fomu,azindue kampeni ,aanze kampeni rasmi kisha aje ajitoe hizi akili za wapi?
Au mnafikir uchaguzi mkuu ni kama uchaguzi wa m,kiti wa chadema
Mgombea anaweza kujitoa wakati wowote apendavyo
Badala ya kuwasema viongozi wenu waache upumbavu katikati ya vita nyie wafuasi wake mnawasupport kwa upumbavu wao hizo ni akili za sigara bwege
 
Kwani kura zimeshapigwa? Mtaona kwenye Sanduku la kura au kama mmechukia sana tukamateni wananchi tusiende kupiga kura siku ya uchaguzi. Kura zote kwa Tundu lissu. Shikamoo maalim
 
Vyama vya upinzani vina wafuasi wajinga wajinga hivi
Kwa nn hamkuungana kabla ?
Mende achukue fomu,arudishe fomu,azindue kampeni ,aanze kampeni rasmi kisha aje ajitoe hizi akili za wapi?
Au mnafikir uchaguzi mkuu ni kama uchaguzi wa m,kiti wa chadema
Mgombea anaweza kujitoa wakati wowote apendavyo
Badala ya kuwasema viongozi wenu waache upumbavu katikati ya vita nyie wafuasi wake mnawasupport kwa upumbavu wao hizo ni akili za sigara bwege
Inawezekana wewe ndiye unayekosea kudhani wame/walikosea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
120134482_3124620077667467_5897278329617641427_o.jpg
 
Watanzania wanaelewa kura za upinzani Zanzibar ni Maalim Seif na Urais wa Muungano ni Tundu Lisu.

Wameshachelewa walitakiwa wamzuiwe Lisu kueudi Tanzania kama Kabila alivyomzuiya Mose Katumbi kurudi Congo.

Kosa lenu ccm ni kuacha Lisu akatuwa Tanzania, kosa la pili kukubali Lisu awe mgombea, hili mtalijutia milele.
 
Tulia Mzee, CCM ishaungana na TLP na mgombea wao wa Urais ndiye mgombea wa CCM, Je walikuletea karatasi ya ndoa yao?

Hangaika na hao kwanza!!
 
Tatizo ni asilimia 84 iliyotengenezwa wanajua wahusika wanaofanya hiyo asilimia sasa jinsi yakuchakutua tena ili zipungue ndo shida!!!! Hujiulizi kwanini Lissu anaambiwa hashindi zaidi ya asilimia 20?
 
Back
Top Bottom