Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM Kila mahali wanahakikisha kuna hurdles ili kufanya maisha ya Wapinzani magumu. Wanabana Kila mahali... Tume pekee haitoshi Sasa wako na msajili pia. Haki bado Sana Tanzania .... Ndiyo maana Lissu anahubiri haki.Hawa watu waliopewa madaraka kushika nafasi mbalimbali awamu hii ni aibu kwa taifa letu.
Nyani haoni kunduleSheria inatamka vyama vinapaswa kufanya hivyo at least mwaka mmoja kabla ya uchaguzi. Sasa Augustino Mrema (TLP) alifanya hayo lini? Maana Mrema alitangaza hayo mwezi May mwaka huu..
Hapo ungekuwa na akili timamu, mwisho wa maandishi yako - ungeweka alama ya kushangaa (!) badala ya kuuliza (?).Msajili ni kilaza balaa.
Sijui kama ana akili timamu?